Nina swali, huwa wanaingia wakishakuwa na hizo doctorates au kabla na kujiendeleza wakiwa jeshini?prof major general Dr yodan mtalima kohi alikaa COSTECH kama mkurungezi kwa miaka 13 ,ila Bwana mkubwa wa awamu ya nne alitengua uteuzi wake na kurudishwa Jeshini ,inasemekana utendaji mbovu wa walio chini yake na alishindwa kuiindeleza sayansi nchi kwa miaka yote hiyo aliyokuwa mtendaji mkuu wa chombo cha wanasayansi TZ ,Tetesi zingine kuwa bwana mkubwa alichukia aliposikia watendaji wa chini yake walikuwa wanatumia magari kwenye ishu za ujangili,mara jengo la serikali watumishi waliochini yake wakapaka rangi za matangazo ya kampuni fulani ya simu nk........ miaka ya mwisho ya utumishi wake alitumika vizuri kama mtabibu lugalo na kufanya vizuri sana kwenye fani yake.Pia inasemekana ni mtaalam pekee wa medical law TZ
Nina swali, huwa wanaingia wakishakuwa na hizo doctorates au kabla na kujiendeleza wakiwa jeshini?Ukimuona kijana mdogo JWTZ amechafuka manyota ujuwe ni elimu ndio ilimpa ajira ya jeshini.
Taaluma zote zipo jeshini. Mainjinia ndio usiseme.
Wapo wengi tu nasikia wapo watuu wamesoma masters mpaka India wqpo kuleHabari.
Nilitaka kujua maana sijawahi waona wala kusikia hawa 'wasomi' ktk nyanja ya jeshi eidha jwtz au polisi au jeshi lolote!
Hivi huyu kwenye kutambulisha anatambulishwaje akiwa jeshini?anawza akaitwa Prof.Brig fulani au?PhDs zipo mkuu ila kuhusu Profesa sina uhakika
sehemu pekee unayoweza kufanya career development ukafika mbali ni kwenye majeshi ndio maana yanawasomi wengi sana.......Nina swali, huwa wanaingia wakishakuwa na hizo doctorates au kabla na kujiendeleza wakiwa jeshini?
Kohi amestaafu akiwa na cheo cha Meja Jenerali
Dr Malewa nadhani ndiye Mkuu wa magerezaKumbe udaktari huu, mi namaanisha Doctor of Philosophy(PhD) na maprofesa!
Madokta hawa wa medicine Lugalo pia wapo kibao!
Bro kusema uongo ni kwa kukusudia.Ila kusahau au kuongea kitu kwa kudhani sio uongo ni kuteleza.Somo la filosofia hapa ndio mahali pake
Wewe Kweli kilaza ! kwa katiba ipi? uhamiaji sawa sio jeshi lakini usiseme jeshi ni moja tu.Hakuna jeshi la uhamiaji, ile ni idara ya uhamiaji.
Kwanza nchi hii tuna jeshi moja tu JWTZ hivyo vingine ni vikosi tu.
Wapo wakutosha Dr mkuu wa jeshi kipindi cha mgomo wa ma Dr Muhimbili alikuwa anaitwa Dr,Prof,Brigadier general? ???? Namuhifadhi kwa wasiojulikana taaluma zote zilizo uraiani pia ziko jeshini.Kudhibitisha hili wakati waongoza ndege waligoma hawa jamaa kitengo cha anga walikwenda kushika usukani.Vyeo vyao ambavo ndio maarufu vinafunika vyeo vyao vya kisomi hawa jamaa hawana majivuno.Jeshi la Marekani tafiti za mambo ya tiba na anga zinafanyikia kwao. Enzi za Nyerere marubani wa ATC japo walikuwa wanaonekana raia lakini walikuwa wanajeshi.Hivi unajua mkuu wa jeshi la magereza ni mwanamke na ana phD?
Ahsante mkuu nimeteleza kidogoUMEKOSEA SANA HAPO NILIPO BOLD HAKUNA MKUU WA MAGEREZA MWANAMKE BALI IDARA YA UHAMIAJI INAONGOZWA NA DR. MAKAKALA AMBAYE NI MWANAMKE SIJUI KAMA ANA UHUSIANO NA LT. GENERAL SAMWEL MAKAKALA ALIYEKUWA MKUU WA CHUO CHA ULINZI CHA TAIFA (NDC) NA SASA NI BALOZI WA ZIMBABWE NA MAGEREZA NI DR JUMA MALEWA
Mkuu wa jeshi la Magereza nchini yaani Commissioner General ni mwanaume na ni kweli ana hold hadhi Dr.Wapo wakutosha Dr mkuu wa jeshi kipindi cha mgomo wa ma Dr Muhimbili alikuwa anaitwa Dr,Prof,Brigadier general? ???? Namuhifadhi kwa wasiojulikana taaluma zote zilizo uraiani pia ziko jeshini.Kudhibitisha hili wakati waongoza ndege waligoma hawa jamaa kitengo cha anga walikwenda kushika usukani.Vyeo vyao ambavo ndio maarufu vinafunika vyeo vyao vya kisomi hawa jamaa hawana majivuno.Jeshi la Marekani tafiti za mambo ya tiba na anga zinafanyikia kwao. Enzi za Nyerere marubani wa ATC japo walikuwa wanaonekana raia lakini walikuwa wanajeshi.Hivi unajua mkuu wa jeshi la magereza ni mwanamke na ana phD?
Kweli kabisa hawa watu wanatambulishwa tu kwa vyeo vyao vya kijeshi,ila wapo wasomi wengi sanasana pale ndani,kumbuka dunia imebadilika sn majeshi karibia yote yanaongozwa kisomi kwani teknolojia imejaa ktk majeshi yetuKuna mmoja tena ni best ' Neurologist ' akiwa amesomea nchini Urusi na amehudumu sana hapo Lugalo Hospital anaitwa Professor Yardon Kohi amestaafu akiwa na Cheo cha Brigedia anaishi Mbezi Beach barabara ya zamani ya kwenda Goba. Tena asikudanganye Mtu huko Jeshini ndiyo kuna ' Wasomi ' waliotukuka hadi balaa.
Wengi miongoni mwa maofisa waandamizi wa JWTZ ni wasomi wenye credentials za Military engineering, fani ambayo ina ngazi hadi ya shahada ya masters. Jeshi la Polisi nako kadhalika mbali na fani ya sheria ambayo ina credentials za viwango tofauti maafisa wengi wa ngazi za juu Polisi wamefuzu fani za taaluma ya Criminology ambayo sina hakika kama ina ngazi ya PhD. Ila ni elimu pana sana yenye kuhusisha course zenye masomo mengi.Kuna mmoja tena ni best ' Neurologist ' akiwa amesomea nchini Urusi na amehudumu sana hapo Lugalo Hospital anaitwa Professor Yardon Kohi amestaafu akiwa na Cheo cha Brigedia anaishi Mbezi Beach barabara ya zamani ya kwenda Goba. Tena asikudanganye Mtu huko Jeshini ndiyo kuna ' Wasomi ' waliotukuka hadi balaa.
Wote wanahitajika inategemeana na vitengo wanavyofanyia kazi.Sasa kwa akili yako Daktari wa binadamu na mtu mwenye PHD ya maganda ya korosho hapa nani ni bora zaidi ambaye huduma yake inahitajika?