Je kuna maprofesa na madokta (PhD) jeshini??

WAPO WENGI TU TENA WA FANI TOFAUTI.SIKU HIZI MAMBO YA KWENDA JESHINI ETI KWASABABU TU MREFU KAMA TWIGA HAKUNA TENA
 
wanasoma jeshini..
jeshini ndilo eneo ambalo wanasoma sana..
 
Unaweza kuwa na PhD ukiwa na masters mkuu pia usichukulie uproffessor ni level ya juu ya usomi PhD ni zaidi.uproffessor ni publication na research
 
Kohi amestaafu akiwa na cheo cha Meja Jenerali
 
Sasa kwa akili yako Daktari wa binadamu na mtu mwenye PHD ya maganda ya korosho hapa nani ni bora zaidi ambaye huduma yake inahitajika?
Wee kwa akili yako unaonaje onaje?? Hata binadamu wana symbiotic relationship! Huyo daktari wako unayemuona ana umuhimu kuliko wengine deep down anamtegemea mfagia barabara ili aishi na avute pumzi!
Think outside the box kijana!
Mfagia barabara asipoumwa huyo daltari wako atatibu hewa??
Na swali langu lililenga madokta wa PhD ( Doctors of Philosophy).
 
MD sio PhD.
Hata Mashinji ni doctor, sijui wajua hili??
 
Unaweza kuwa na PhD ukiwa na masters mkuu pia usichukulie uproffessor ni level ya juu ya usomi PhD ni zaidi.uproffessor ni publication na research
Ni dhahiri unayosema. Huko kupanda cheo mwenye PhD vigezo vyake ni hizo publications!
 
You are logically correct, ila jeshini hawawezi kukusomesha au kukupa fursa ikiwa tayari ndani ya chombo ukasome hadi uprofesa??
 
Hapana mheshimiwa, mkuu wa magereza ni mwanaume na kweli ni Doctor
 
You are logically correct, ila jeshini hawawezi lulisomesha au kulupa fursa ikiwa tayari ndani ya chombo ukasome hadi uprofesa??
Jeshini wana vyeo vyao vya kijeshi. Uprofesa hupatikana kwenye taasisi za elimu ya juu. Hapo ndiyo kwenye detail yenyewe!
Mwanajeshi atasoma PhD na anaweza ku publish sana tu. Lakini kama mwajiri wake ni Jeshi, sidhani kama atafikia uprofesa. No way!
Na kwa mfumo wa Uingereza, uprofesa pamoja na ku publish kama kigezo muhimu, ni cheo cha kiutawala pia. Mkuu wa idara kwenye Chuo ndiyo hupewa title ya Professor. Ndiyo maana sio wengi sana Uingereza!
Hapa kwetu tunapeana kama njugu tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…