barafuyamoto
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 32,405
- 29,811
- Thread starter
-
- #21
Duh, basi wako kimya sana, hawajioneshi!Kuna mmoja tena ni best ' Neurologist ' akiwa amesomea nchini Urusi na amehudumu sana hapo Lugalo Hospital anaitwa Professor Yardon Kohi amestaafu akiwa na Cheo cha Brigedia anaishi Mbezi Beach barabara ya zamani ya kwenda Goba. Tena asikudanganye Mtu huko Jeshini ndiyo kuna ' Wasomi ' waliotukuka hadi balaa.
Wa kutosha sana tu (hasa JWTZ). Kamishna general wa magereza mwenyewe ana PhD (Dr. Malewa). Juzi tu pale rais anatoa kamisheni Arusha umesikia zile takwimu pale kulikuwa na Masters za kutosha sana tu.Habari.
Nilitaka kujua maana sijawahi waona wala kusikia hawa 'wasomi' ktk nyanja ya jeshi eidha jwtz au polisi au jeshi lolote!
Acha uongo....magereza mwanamke?You are not serious, uhamiaji ndo keWapo wakutosha Dr mkuu wa jeshi kipindi cha mgomo wa ma Dr Muhimbili alikuwa anaitwa Dr,Prof,Brigadier general? ???? Namuhifadhi kwa wasiojulikana taaluma zote zilizo uraiani pia ziko jeshini.Kudhibitisha hili wakati waongoza ndege waligoma hawa jamaa kitengo cha anga walikwenda kushika usukani.Vyeo vyao ambavo ndio maarufu vinafunika vyeo vyao vya kisomi hawa jamaa hawana majivuno.Jeshi la Marekani tafiti za mambo ya tiba na anga zinafanyikia kwao. Enzi za Nyerere marubani wa ATC japo walikuwa wanaonekana raia lakini walikuwa wanajeshi.Hivi unajua mkuu wa jeshi la magereza ni mwanamke na ana phD?
Mkuu yote umetiririka vyema, ila hili la mkuu wa jeshi la magereza kusema ni mwanamke ni uongo wa mchana kweupe.Wapo wakutosha Dr mkuu wa jeshi kipindi cha mgomo wa ma Dr Muhimbili alikuwa anaitwa Dr,Prof,Brigadier general? ???? Namuhifadhi kwa wasiojulikana taaluma zote zilizo uraiani pia ziko jeshini.Kudhibitisha hili wakati waongoza ndege waligoma hawa jamaa kitengo cha anga walikwenda kushika usukani.Vyeo vyao ambavo ndio maarufu vinafunika vyeo vyao vya kisomi hawa jamaa hawana majivuno.Jeshi la Marekani tafiti za mambo ya tiba na anga zinafanyikia kwao. Enzi za Nyerere marubani wa ATC japo walikuwa wanaonekana raia lakini walikuwa wanajeshi.Hivi unajua mkuu wa jeshi la magereza ni mwanamke na ana phD?
Ahsante mkuuRekebisha hapo kuhusu mkuu wa jeshi la magereza.
Sio mwanamke, ni mwanaume mwenye taaluma ya udaktari (MD).
Uhamiaji ndo kuna mwanamke.
Bro kusema uongo ni kwa kukusudia.Ila kusahau au kuongea kitu kwa kudhani sio uongo ni kuteleza.Somo la filosofia hapa ndio mahali pakeAcha uongo....magereza mwanamke?You are not serious, uhamiaji ndo ke
Habari.
Nilitaka kujua maana sijawahi waona wala kusikia hawa 'wasomi' ktk nyanja ya jeshi eidha jwtz au polisi au jeshi lolote!
Kuna mmoja tena ni best ' Neurologist ' akiwa amesomea nchini Urusi na amehudumu sana hapo Lugalo Hospital anaitwa Professor Yardon Kohi amestaafu akiwa na Cheo cha Brigedia anaishi Mbezi Beach barabara ya zamani ya kwenda Goba. Tena asikudanganye Mtu huko Jeshini ndiyo kuna ' Wasomi ' waliotukuka hadi balaa.
Sasa kwa akili yako Daktari wa binadamu na mtu mwenye PHD ya maganda ya korosho hapa nani ni bora zaidi ambaye huduma yake inahitajika?Kumbe udaktari huu, mi namaanisha Doctor of Philosophy(PhD) na maprofesa!
Madokta hawa wa medicine Lugalo pia wapo kibao!
Hakuna jeshi la uhamiaji, ile ni idara ya uhamiaji.Mkuu yote umetiririka vyema, ila hili la mkuu wa jeshi la magereza kusema ni mwanamke ni uongo wa mchana kweupe.
Sema kama ulikuwa ukimaanisha mkuu wa jeshi la uhamiaji hapo sawa.
Beautiful MamaView attachment 602298
Meja jenerali zawadi madawili
Yuko kwenye bodi mpya ya mishahara
Kitabu iko kichwani
Sio magereza mkuu... ni uhamiaji!!!Wapo wakutosha Dr mkuu wa jeshi kipindi cha mgomo wa ma Dr Muhimbili alikuwa anaitwa Dr,Prof,Brigadier general? ???? Namuhifadhi kwa wasiojulikana taaluma zote zilizo uraiani pia ziko jeshini.Kudhibitisha hili wakati waongoza ndege waligoma hawa jamaa kitengo cha anga walikwenda kushika usukani.Vyeo vyao ambavo ndio maarufu vinafunika vyeo vyao vya kisomi hawa jamaa hawana majivuno.Jeshi la Marekani tafiti za mambo ya tiba na anga zinafanyikia kwao. Enzi za Nyerere marubani wa ATC japo walikuwa wanaonekana raia lakini walikuwa wanajeshi.Hivi unajua mkuu wa jeshi la magereza ni mwanamke na ana phD?
Wa kutosha sana tu (hasa JWTZ). Kamishna general wa magereza mwenyewe ana PhD (Dr. Malewa). Juzi tu pale rais anatoa kamisheni Arusha umesikia sole takwimu pale kulikuwa na Masters za kutosha sana tu.
Kwa mujibu wa katiba yako au ya jamhuri ya muungano wa TanzaniaHakuna jeshi la uhamiaji, ile ni idara ya uhamiaji.
Kwanza nchi hii tuna jeshi moja tu JWTZ hivyo vingine ni vikosi tu.
CGI ni Dr Anna MakakalaCGP ni mwanaume
CGI ni mwanamke
Weka sawa maelezo yako