Je, Kuna mapenzi ya kweli kwenye ndoa za mitaala?

Kwako wewe naona ndo huna au hujawahi kuwa na mapenzi ya kweli, kwa hiyo nakuhisi jinsi ulivo muongo muongo vile, dah pole!

Asante. Ila ukweli ndio huo. Au labda wewe unaweza kunieleza "mapenzi ya kweli" ni yepi hayo..?
 
mie naona ni ubinafsi na uroho tu kua na wake wengi!! nimejaribu kusoma wachangiaji wengi hawana jibu la moja kwa moja kuhusu ndoa za mitala!! Moyo ni mmoja tu ndio unaotoa mapenzi ya kweli na lazima uwe na wivu na mwenzio kama sio shida za dunia na mahangaiko yake unawezaje kusema nampenda na wakati huo amelala na mwingine? na huyo mwanaume anaongozwa na uroho tu na tamaa zake

kuna jiran yangu ye n bi mdogo na ana watoto wakubwa tu,lkn chakushangaza yule bwana hajawahi kulala kwa mke mdogo na akija hkai zaidi ya masaa ma2 ila mwnyw bi mdg anakwambia hata asipolala hajali mradi anapata rzk yake,ila kikwazo n bi mkubwa alikataa kuwa na mke mwenza lkn bwana akaoa,mke mkubwa kusikia ivo akamwambia ole wako cku ulale huko cha ajabu bwana nae kakubali masharti,kiukwl hkn mwanamke anaependa mitara.
 
Kwa maana hiyo,Wakristo wanatudanganya wakijifanya kuwapenda miungu yote mitatu(mungu mwana,Baba na Loho mtakatifu)kumbe ni uroho,tamaa,kujipendekeza,wivu n.k ili waweze kufika kwny uflme Wa bwna ingawaje wakijua wampenda mungu mmoja
 
kufahamu maana ya utatu mtakatifu ni kwa neema tu, la sivyo unakuwa hueleweki kwa wale waliojaaliwa kulielewa, so bora ukakaa kimya!
 
mie naona ni ubinafsi na uroho tu kua na wake wengi!! nimejaribu kusoma wachangiaji wengi hawana jibu la moja kwa moja kuhusu ndoa za mitala!! Moyo ni mmoja tu ndio unaotoa mapenzi ya kweli na lazima uwe na wivu na mwenzio kama sio shida za dunia na mahangaiko yake unawezaje kusema nampenda na wakati huo amelala na mwingine? na huyo mwanaume anaongozwa na uroho tu na tamaa zake

Pia hakuna mwanadamu aliumbwa na papuchi au dushelele zaidi ya moja!
 
Kwa sisi waislam hizi ndoa ni sunna ila kwa sasa wanaume hawana uadilifu .hazikuwekwa hiz ndoa iwe bakora kwetu na wanaume wameruhusiwa kuoa lakin wameambiwa wawe waadilifu ,ila inaumaa sana
 
Back
Top Bottom