Me bado natafuta JrHuyo jamaa (ambaye ni wewe mwenyewe) ni MPENZI MTAZAMAJI...
Acha unafiki,wewe mbona hukumvumilia mahondaw!![emoji53][emoji53][emoji53]
Amuoe ili amukamue vzr,Huyo anataka ndoaKwa amboa mko kwenye mahusiona, hii inawahusu. Kuna jamaa yangu analalamika ana miezi 8 sasa yuko kwenye mahusiono na binti fulani hivi...
Mtoto yule amebarikiwa chura na hataki kumpa jamaaa.... anahisi kama kuna mtu anamtumia mpenzi wake..
Anaomba ushauri, afanye nini kuhusu huyu binti? Maana boxer zake zinaharibika, inàfika mahala utamu unachuruzika wenyewe wakati mwingine....
MAHUSIANO bila SEX ni sawa na kuuziwa nyumba au kiwanja BILA HATI....siku zote mwanamke kama upo nae ktk mahusiano na HUJAMVUA chupi...ni sawa na FACEBOOK FRIEND tu.....ukisha sex nae ndy atakuwa wako sasaKwa amboa mko kwenye mahusiona, hii inawahusu. Kuna jamaa yangu analalamika ana miezi 8 sasa yuko kwenye mahusiono na binti fulani hivi...
Mtoto yule amebarikiwa chura na hataki kumpa jamaaa.... anahisi kama kuna mtu anamtumia mpenzi wake..
Anaomba ushauri, afanye nini kuhusu huyu binti? Maana boxer zake zinaharibika, inàfika mahala utamu unachuruzika wenyewe wakati mwingine....
Kwa amboa mko kwenye mahusiona, hii inawahusu. Kuna jamaa yangu analalamika ana miezi 8 sasa yuko kwenye mahusiono na binti fulani hivi...
Mtoto yule amebarikiwa chura na hataki kumpa jamaaa.... anahisi kama kuna mtu anamtumia mpenzi wake..
Anaomba ushauri, afanye nini kuhusu huyu binti? Maana boxer zake zinaharibika, inàfika mahala utamu unachuruzika wenyewe wakati mwingine....
Teh tehMbona wewe nilikunyima kabla ya ndoa na sikuwa na vidume vingine!!! Inawezekana bwana.
kama anampa vichenji
asimpe vikwazo vya uchumi vianze
Sio mimi jamani naomba nieleweke, binafisi zikipita wiki 2 hatujaonana na najua fika yupo karibu na mimi na ananipiga kalenda kunipa... Huwa najiongeza..... Siwezi kaa muda mrefu hivyo, inanipa mashaka... Huenda ni shemale nalazimisha tukifika hukuo linigeuzie kibao, why.......?Mimi nakujibu kama ni wewe maana nahisi ni wewe!
Ngono si mapenzi na haijawahi kuwa. Ngoja nikuwekee nukuu kutoka kitabu cha Walter Trobisch - I Married You
SEX IS NO TEST OF LOVE. If a couple want to use the sex act in order to know whether they love each other, one has to ask them: “Do you love each other so little?”
1. Kama ulimtongoza kwa minajili ya kulala naye tu na kutimiza hitaji lako la kimwili basi nenda katafute kwingine au mueleze hasa nia yako kwake, huenda mkawa mmekutana wazinzi wawili ila hamtaki kuambizana ukweli. Wewe unamdanganya unampenda mwenzio hakupendi, anakutamani tu kama unavyomtamani yeye.
2. Kama lengo lako lilikuwa kuwa naye kwa minajili ya ndoa na maisha pamoja basi hiyo ni indicator kwako kuharakisha kama unaona huwezi kusubiri. Lakini hakikisha sana, zaidi ya mwili wake (chura), na sehemu nyingine zake mnaendana (compatibility).
Ngono ni muhimu kwenye ndoa ila ngono si kipimo cha mapenzi.
Dunia ya sasa imefanya ngono kama kitu cha kawaida. Mimi sitaenda huko na nimeamua siku hizi sitoshauri tena watu mkazini, ila kama umri unakuruhusu usiendelee kujitia msononeko wa moyo, fanya hima mfunge ndoa mfurahie maisha. Hakuna raha kama kutulia na mwenza wako uanze kufikiria mambo mengine sasa ya uchumi na kutumikia taifa lako.
Kila la kwei Mayila Baba.
Nadhani ulimbaka na kumsababishia maumivu makali ya sehemu za siriYapo..Mimi ninaye wangu yaani toka nilipomtoa dam ya kwanza mwezi we tatu hadi leo hataki na aliniambia hadi mwezi wa 6 ilipofika akasema hadi wa kumi Jana kasema hadi mwakani
huduma anataka na unatoa kama kawaida?Niliwaza nikataka kumwambia ajiongeze... Cause now days we don't trust each other, so he must look for someone who will real care.. Remind you, having sex is one of the basic needs in any multicellular organisms..... Kama anakosa lazima atafute inakopatikana...