Je, kuna mapenzi pasipo kufanya mapenzi?

Je, kuna mapenzi pasipo kufanya mapenzi?

wewe ndio mbishi huyo mwanamke inawezekana ana kidume chake huko anafosi hadi kulala hadi vichupi anaviacha huko huko
Mbona wewe nilikunyima kabla ya ndoa na sikuwa na vidume vingine!!! Inawezekana bwana.
 
Yeah inawezekana inategemeana na ninyi wawili mnayapa uzito kiasi gani mahusiano yenu
 
Yapo..Mimi ninaye wangu yaani toka nilipomtoa dam ya kwanza mwezi we tatu hadi leo hataki na aliniambia hadi mwezi wa 6 ilipofika akasema hadi wa kumi Jana kasema hadi mwakani
 
Miezi nane nasubiri nasubiri yesu ashuke au?
Me hata wiki mbili siwezi ntaumwaaaa
Afu akiwa karibu ndo kwa wiki Mara 4 hadi 5 napenda sana papuchi nashindwa aisee
 
watu wanaosoma humu ni wengi usinitangaze kihivyo
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85]
Hiyo ni sifa mpenzi, inaonyesha unajali.
 
Aache ujinga huyo jamaa wewe ulitongoza ili msalimiane na kutembeleana au! Huyo demu atakuwa ananyodo dawa yake mchukue mpeleke geto na usimwombe papuchi bali ingia zako vua nguo mchezee mtekenye tekenye mguse guse mapaja mpapase papase mgongoni mpaka aende chini ule mzigo wanawake wengine ukiwaomba kusex wanahisi utamfikiria malaya saaa dawa yake ingia kwa staili hiyo aache za kizamani hizo
Kwanini anakubania!
 
Kama hiyo akikataa basi tafuta demu mwingine hata kama hutamgegeda ila awe mzuri kuliko yeye halafu pita naye tu mbele yake lazima avue pichu
 
Ukiona na hilo amekataa basi ujue ana dushee na sio papuchi
 
Mwanamke gani hana hamu ??? Au ni reptilia sio mamalia????
Au huenda aligegedwa vby wkt anakatwa bikra sasa anaogopa akihisi atapata maumivu yale yale
 
Hapo jibu jepesi tu ... Ni kwamba hana hisia nae kwahyo Hata akimpa itakua anafanya mapenz Na maiti bora a log out
 
Kwanini mnapenda kutumia neno jamaa ilihali ni ninyi wenyewe, huo mchuruziko uliuonea wapi?? Au unafua boxer zake
 
Back
Top Bottom