Je, kuna mapenzi pasipo kufanya mapenzi?

Mayila Baba

Member
Joined
May 21, 2016
Posts
93
Reaction score
61
Kwa ambao mko kwenye mahusiano, hii inawahusu. Kuna jamaa yangu analalamika ana miezi 8 sasa yuko kwenye mahusiono na binti fulani hivi...

Mtoto yule amebarikiwa chura na hataki kumpa jamaaa.... anahisi kama kuna mtu anamtumia mpenzi wake..

Anaomba ushauri, afanye nini kuhusu huyu binti? Maana boxer zake zinaharibika, inàfika mahala utamu unachuruzika wenyewe wakati mwingine....
 
Utamu kuchuruzika ni ishara ya upendo...

So wacha jamaa yako utamu uendelee kuchuruzika hahaha
 
namshauri aendelee kusubiri

ila mimi nisingeweza[emoji3][emoji3]
 
Niliwaza nikataka kumwambia ajiongeze... Cause now days we don't trust each other, so he must look for someone who will real care.. Remind you, having sex is one of the basic needs in any multicellular organisms..... Kama anakosa lazima atafute inakopatikana...
 

Hakuna kitu hapo, jamaa ajiongeze.
 
Mapenzi ya kitoto hayo, we unaanzaje kumuita mtu mpenzi kama hujawahi hata kumkojolea sirini!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…