Tyrone Kaijage
JF-Expert Member
- Jul 19, 2021
- 1,616
- 3,432
Umuofia kwenu?
Kuna hili suala la kujichelewesha, kidogo linanitatiza maana naona kama mtu anapingana na nature pale,....imagine umesugua ili zitoke tena raha inakuja, lakini mtu hataki zitoke kulingana na muitikio wa hisia, anaji control kwasababu zake binafsi.
Hivi ule ukinzani tunaoshindana nao wakati wa kuji control hauwezi kuwa na madhara kama mtu akizoea hii tabia kwa mrefu?
Kibofu, misuli kadha wa kadha, makende etc
Nawasilisha