Je kuna kupona hapo..?

ukiruka kutoka kwenye ndege mpaka baharini ni sawa na kutua kwenye zege, kwa umbali huo angeweza kutoboa kama angetanguliza miguu au angechumpq mikono ingetangulia ikifufuatiwa na kichwa
 
ukiruka kutoka kwenye ndege mpaka baharini ni sawa na kutua kwenye zege, kwa umbali huo angeweza kutoboa kama angetanguliza miguu au angechumpq mikono ingetangulia ikifufuatiwa na kichwa
Sawa umetua kwenye zege 😂😂😂😂😂😂 nimecheka sana mkuu...

Ina mana bora ubaki mule mule tuu sio
 
Nakumbuka enzi
Kuruka kwenye helicopter iliyosimama juu ya maji tu wengine waliruka vibaya na kuvimba sehemu za tumbo kwa ile impact
Sasa inategemea nae alinza na nini kuingia kwenye maji

Na sidhani kama alikuwa pilot, labda mkimbizi aliejificha kwenye tairi
Au ni mmoja wa wahudumu au passenger
Mpaka nijue chanzo cha clip hiyo, ntakuwa mtabiri tu wa ramli
 
Mkuu yule ni abiria kutokana na nguo alizovaa...

Kingine katoka kwenye mlango mkuu
 
Tulipona, kamanda majaaliwa alikuwepo karibu.
 
Ni wapi hii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…