Hivi anayefanya mtihani kwa usaili wa kujitegemea (private candidate) na usaili wa shule (School candidate, kuna tofauti gani kubwa hasa? School Candidate anafaidika nini ambacho private candidate hapati? Ni kweli grades za private ni kubwa kuliko za School?
Faida zipo kwanza school candidate wana marks za continues assessment mf ukiwa advance wanachukua matokeo ya annual ya form 5 na matokeo ya mock form 6 wanatuma NECTA.
Vilevile kuna practical research mnachagua topic mnaenda kuifany marks mnazopata zinapelekwa necta ila vyot hvyo private candidates hana.
Faida zipo kwanza school candidate wana marks za continues assessment mf ukiwa advance wanachukua matokeo ya annual ya form 5 na matokeo ya mock form 6 wnatuma necta, vilevile kuna practical research mnachagua topic mnaenda kuifany marks mnazopata zinapelekwa necta ila vyot hvyo private candidates hana.
Zamani sana ilikuwa private candidates wana mtihani mmoja wa ziada. Kama hesabu ina Paper One pekee, wao walikuwa pia wakifanya Paper Two. Sasa hiyo Paper Two ilikuwa ni ngumu sana, hata anayepata "A" kwenye paper one pekee, paper two inamkimbiza.