je kuna ilazima wa kukata rufaa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

je kuna ilazima wa kukata rufaa

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by pema, Apr 5, 2012.

 1. p

  pema Senior Member

  #1
  Apr 5, 2012
  Joined: Apr 5, 2012
  Messages: 104
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  mazingira yanaonyesha kuwa hofu ya ccm ni lema kunaulazima wa kukata rufaa kwani au kusubili uchaguzi? kwani
  1.tukukata rufaa kuna uwezekano wa mheshimiwa kupokonywa ubunge na kupewa upinzani
  2. kupiga kula anaweza kuwekewa pingamizi na siasa chafu zikatumika kumuondoa mheshimiwa.
   
 2. kongomboli

  kongomboli Senior Member

  #2
  Apr 6, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 154
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  rufaa lazima, na tayari lema kaamua kukata rufaa bora zaidi kuliko zote;RUFAA IMERUDI KWA WANANCHI wao ndo wataamua nani kashinda,pepoles power in motion
   
Loading...