Meno yangu mengi yana rangi ya kahawia na baadhi yametoboka toboka. Ingawa najitahidi kudumisha usafi wa kinywa kwa kutumia dawa za kawaida za meno inaelekea yanaendelea kutoboka, kumeguka na kuvunjika. Naomba yeyote mwenye ujuzi anisaidie kujua dawa itakayoweza kutakatisha na kutibu meno yangu. Natanguliza shukrani.
BigMOUTH-eXTra : Dental care management: DAILY CARE OF YOUR ORAL HEALTH, Huyu jamaa Dental Surgeon atakuwa ni msaada kwako.
Mcheki mmoja wao hapa Aloe Vera benefitsTafadhali nijulishe streight hao wasambazaji au wauzaji wanapatikana wapi tanzania
<br />Tafadhali nijulishe streight hao wasambazaji au wauzaji wanapatikana wapi tanzania
Jamani nisaidien wapendwa meno yangu yameoza mno
Unamkuta mtu ni kijana/msichana mzuri tu wa kuvutia cha kushangaza ngoja acheke.
ha ha ha ha utadhani amengata mchanga.
umetoa ushauri au?Unamkuta mtu ni kijana/msichana mzuri tu wa kuvutia cha kushangaza ngoja acheke.
ha ha ha ha utadhani amengata mchanga.
ww pimbi kweli wenzako wanatafuta tiba ww unaleta matani na madhrau humu utakuja mcheka mama yako siku akijamba mbele ya yako akuvulie nguo uruke uchizi
Pole sana ndugu. Nashauri umwone Dentist akupe ushauri wa kitabibu. Ikishindikana tumia dawa inayoitwa Forever Bright tooth gel. Inapatikana kwa wasmbazaji wote wa Forever Living Products.