milangomitatu
JF-Expert Member
- Nov 30, 2016
- 1,469
- 1,167
Mi huwa sipend mtu anayeandika vitu kwa kuhisi kama una uthibitisho ni sawaDIAMOND HAJAWAHI KUWA NA BIFU NA MTU,ILA 99% WATU NDIO WANATAFUTA BIFU NAE.
DIAMOND na ALIKIBA = Mashabiki wa Wema ndio wamelitengeneza (wakitaka MOND ashuke)
Shigongo na DIAMOND =Maslai (Shigongo alimtaka akafanye shoo kwa bei isiyo na maslai kwake)
EATV/Radio na DIAMOND = Kutokushiriki kwenye tuzo zao,kitu ambacho si DIAMOND PEKE YAKE ALIYEFANYA HIVI
WEMA SEPETU na DIAMOND = Wema kuwa na wivu wa mafanikio ya DIAMOND (baada ya kuona kuwa anaendelea na maisha yake vizuri,wakati alisema anatembelea nyota yake.)
Na ma-bifu mengine mengi ni wivu wa kuona jamaa ana mafanikio na anazidi kupiga hatua pamoja na madongo kila upande.
HAKUNA HATA BIFU MOJA AMBALO KALIANZISHA YEYE,ILA ANAANZISHIWA.
Wanaowekwa hawajielewi wakati kuna sheria ya cybercrime , unataka mahakama ikufuate ukafungue kesi...MBONA WENGINE WANAWEKWA?
acha kudandia madaWatu tunaongelea DIAMOND na "ma-bifu". "we unauliza kwani MOND ndio mwenye mafanikio kuliko cele wote hapa Bongo ...." Sasa hii ni wapi na wapi ....??
Sema NIMEKOSEA WAPI ...Maana hapa JF HAKUJAWAHI KUWA NA MADA "ZINAZODANDIWA".acha kudandia mada
Kipi nimehisi ......??Mi huwa sipend mtu anayeandika vitu kwa kuhisi kama una uthibitisho ni sawa
hukuona kama nimemQuote Mtu.. hebu rudi kaangalie tena hlf ulete majibu hpSema NIMEKOSEA WAPI ...Maana hapa JF HAKUJAWAHI KUWA NA MADA "ZINAZODANDIWA".
Nimeona,na mimi nikaku quote wewe,vipi HAIRUHUSIWI ........??hukuona kama nimemQuote Mtu.. hebu rudi kaangalie tena hlf ulete majibu hp
umepata jibu?Nimeona,na mimi nikaku quote wewe,vipi HAIRUHUSIWI ........??
Sijapata jibu,hebu nipe jibu wewe.umepata jibu?
Kuhusu hayo mabifu umeandika ukiwa na uhakika? Otherwise kama upo karibu na Diamond si mbayaKipi nimehisi ......??
NINAUHAKIKA,NA HAPO NIMEJARIBU KUFUPISHA SANA.Kuhusu hayo mabifu umeandika ukiwa na uhakika? Otherwise kama upo karibu na Diamond si mbaya
Safi sana mkuu nimekuelewa na umeielezea vizurDIAMOND HAJAWAHI KUWA NA BIFU NA MTU,ILA 99% WATU NDIO WANATAFUTA BIFU NAE.
DIAMOND na ALIKIBA = Mashabiki wa Wema ndio wamelitengeneza (wakitaka MOND ashuke)
Shigongo na DIAMOND =Maslai (Shigongo alimtaka akafanye shoo kwa bei isiyo na maslai kwake)
EATV/Radio na DIAMOND = Kutokushiriki kwenye tuzo zao,kitu ambacho si DIAMOND PEKE YAKE ALIYEFANYA HIVI
WEMA SEPETU na DIAMOND = Wema kuwa na wivu wa mafanikio ya DIAMOND (baada ya kuona kuwa anaendelea na maisha yake vizuri,wakati alisema anatembelea nyota yake.)
Na ma-bifu mengine mengi ni wivu wa kuona jamaa ana mafanikio na anazidi kupiga hatua pamoja na madongo kila upande.
HAKUNA HATA BIFU MOJA AMBALO KALIANZISHA YEYE,ILA ANAANZISHIWA.
Kwa hiyo hapo ndio kamsaidia?SHIGONGO ANA WIVU? MBONA ALIMSAIDIA SANA KIJANA KUFIKA MBALI.NAKUMBUKA ENZI ZILE ANAMPELEKA DIAMOND DAR LIVE NA HELCOPTER
Una uhakika mond ana pesa kuliko shigongoYa Mondi
Wewe kwa akili yako unazan eric ana biashara moja siyoWanaowekwa hawajielewi wakati kuna sheria ya cybercrime , unataka mahakama ikufuate ukafungue kesi...
Athubutu tena kuweka picha za utupu Kama zamani kwa watu wanaojielewa uone Kama harudi sengerema