Nimejaribu kuwasoma, lakini issue ya udhamini ina nichanganya bado. Naona kama wewe muombaji uko kazini unaweza kujidhamini vinginevyo upate mtu aliye kazini akudhamini. Sasa wengi wana wazazi ambao wanakula pension, hawana kazi, au kazi hizi ambazo leo zipo na kesho huna uhakika. Je hawa wanaweza pata mkopo? Kumbuka HESLB wangeweza kupata mkopo bora tu mdhamini ajikomiti.