Je kuna batch ya nne kutoka HESLB??

skyschool

Member
Sep 3, 2017
5
0
Mbona batch ya tatu ya wanufaika wa mkopo kutoka Heslb ina majina 7901 kati ya 8323 yaliyotarajiwa ili jumla ya majina yote yawe 30000 kama Heslb walivyotangaza.
Je majina 422 yaliyosalia kutakuwa na batch ya nne kwa ajili yao????
Kama ipo itatoka lini???
 
kwel mkuu m mwenyewe j3 naenda tssf
Hawa tssf kama kuna walionufaika humu tuambieni,kwani kwenye website yao uki click sehemu ya walionufaika inakuja Guide book yao na kama wanalenga zaidi guarantor awe ni mtumishi ili wamkate toka katika mshahara wake,hawasubiri umalize chuo,
Mwenye uelewa pia tupe ufafanuzi.
 
Nimejaribu kuwasoma, lakini issue ya udhamini ina nichanganya bado. Naona kama wewe muombaji uko kazini unaweza kujidhamini vinginevyo upate mtu aliye kazini akudhamini. Sasa wengi wana wazazi ambao wanakula pension, hawana kazi, au kazi hizi ambazo leo zipo na kesho huna uhakika. Je hawa wanaweza pata mkopo? Kumbuka HESLB wangeweza kupata mkopo bora tu mdhamini ajikomiti.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom