JE KULINGANA NA USHINDANI ULIOPO NAWEZA PATA DIPLOMA IN CLINICAL MEDICINE KWA VYUO HIVI?

Msokwa1

JF-Expert Member
Mar 2, 2018
470
511
Nimemaliza four 2015 nikafanikiwa kupata matokeo kama ifuatavyo
Physics -C
Chemistry-C
Biology-B
Mathematics-C
English-C
Literature-C
Kiswahili-C
History-C
Geography-C
Civics-C
Nikawa na div 2 point 20 je! Kulingana na competition iliyopo naweza pata dip ya course ya clinical medicine kwa vyuo maarufu vya serikali kama lugalo,mhimbili n.k
Tafadhari nahitaji mchango na mawazo yenu
Nitangulize shukran
 
kupata unawezapata sababu unavigezo ila nakushauri usiombe chuo online kupitia nacte we nenda chuo direct kaombee huko
 
ndio ni ngumu sana kupata chuo kupitia nacte hata kama sometime una ufaulu mzuri kiasi gani ila ukienda chuoni moja kwa moja ni rahisi kupata
Nitajitahidi mhula mwingine,

Huwezi amini hats vyuo vile vya hovyo nilikosa!
 
Back
Top Bottom