johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 83,990
- 142,007
Okulazima upo hawa wahasibu wakienda kufanya kaz halmashaur au balozi za nje wanalipana posho za kifisadi, CAG Assad akisafiri nje ya nchi anajilipa posho zaidi ya milion kwa siku
Najaribu kujiuliza tu ni wakati gani Bunge linaweza kutumia fedha za walipakodi kwa mujibu wa kanuni zake kulikagua Ofisi ya Ukaguzi ya Taifa.
Pili ni vigezo gani hutumika kumpata mkaguzi atakayekagua NAO/CAG na hasa ikizingatiwa kuwa Ofisi inayokaguliwa ( NAO) imesheheni wabobezi wa Uhasibu na Ukaguzi?
Na tatu, baada ya kukaguliwa ripoti ya ukaguzi anapelekewa nani kwa ajili ya hatua zaidi au utekelezaji?
Msaada kwenye tuta tafadhali.
Maendeleo hayana vyama!
Da maskini nchi hii sijui lini tutakuwa waadilifu!?Maswali mazuri sana.
Hapo CAG anatafutiwa sababu ili aondolewe kwenye ulimwengu wa siasa. Na akipelekwa mahakamani analazwa kibla ndio utakuwa mwisho wa mzee wetu mwadilifu.
Muda utaongea!Penati imetafutwa sana nadhani goli lazima liingie tu
Unaona milion kwa siku ni nyingi? Especially kama iko kisheria? Kakague wewe basiulazima upo hawa wahasibu wakienda kufanya kaz halmashaur au balozi za nje wanalipana posho za kifisadi, CAG Assad akisafiri nje ya nchi anajilipa posho zaidi ya milion kwa siku
Hahahaa........ Yeye siyo mkaguzi bhana!Unaona milion kwa siku ni nyingi? Especially kama iko kisheria? Kakague wewe basi
Tanzania hakuna mwadilifu. Hasa kuhusu swala zima la taslim/cash/money/pesa/hela/fedhaMaswali mazuri sana.
Hapo CAG anatafutiwa sababu ili aondolewe kwenye ulimwengu wa siasa. Na akipelekwa mahakamani analazwa kibla ndio utakuwa mwisho wa mzee wetu mwadilifu.
Najaribu kujiuliza tu ni wakati gani Bunge linaweza kutumia fedha za walipakodi kwa mujibu wa kanuni zake kulikagua Ofisi ya Ukaguzi ya Taifa.
Pili ni vigezo gani hutumika kumpata mkaguzi atakayekagua NAO/CAG na hasa ikizingatiwa kuwa Ofisi inayokaguliwa ( NAO) imesheheni wabobezi wa Uhasibu na Ukaguzi?
Na tatu, baada ya kukaguliwa ripoti ya ukaguzi anapelekewa nani kwa ajili ya hatua zaidi au utekelezaji?
Msaada kwenye tuta tafadhali.
Maendeleo hayana vyama!
Ndio tutajua je wanachukua hicho kilichopo kisheria au wana cha ziada. Tuliza mkia huo kwanza.Unaona milion kwa siku ni nyingi? Especially kama iko kisheria? Kakague wewe basi
Tena hizi za sie walipa kodi. Watu wanawawazia watoto wao na wajukuu tu. Wale vizuri na waishi vizuri miaka 20 mbele baada ya wao kufa.Tanzania hakuna mwadilifu. Hasa kuhusu swala zima la taslim/cash/money/pesa/hela/fedha
Nini weweeNdio tutajua je wanachukua hicho kilichopo kisheria au wana cha ziada. Tuliza mkia huo kwanza.
Hii sio nchi ya maboya ila wananchi wake Wengi ndio maboya na pia viongoz weng ni maboya ila mimi sio boyaHii nchi ya kiboya sana