Je, kulikuwa na ulazima wowote wa NAO/CAG kufanyiwa " ukaguzi maalum" yaani Special Audit?

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
82,745
139,524
Najaribu kujiuliza tu ni wakati gani Bunge linaweza kutumia fedha za walipakodi kwa mujibu wa kanuni zake kulikagua Ofisi ya Ukaguzi ya Taifa.

Pili ni vigezo gani hutumika kumpata mkaguzi atakayekagua NAO/CAG na hasa ikizingatiwa kuwa Ofisi inayokaguliwa ( NAO) imesheheni wabobezi wa Uhasibu na Ukaguzi?

Na tatu, baada ya kukaguliwa ripoti ya ukaguzi anapelekewa nani kwa ajili ya hatua zaidi au utekelezaji?

Msaada kwenye tuta tafadhali.

Maendeleo hayana vyama!
 
Maswali mazuri sana.
Hapo CAG anatafutiwa sababu ili aondolewe kwenye ulimwengu wa siasa. Na akipelekwa mahakamani analazwa kibla ndio utakuwa mwisho wa mzee wetu mwadilifu.

Da maskini nchi hii sijui lini tutakuwa waadilifu!?
 
Najaribu kujiuliza tu ni wakati gani Bunge linaweza kutumia fedha za walipakodi kwa mujibu wa kanuni zake kulikagua Ofisi ya Ukaguzi ya Taifa.

Pili ni vigezo gani hutumika kumpata mkaguzi atakayekagua NAO/CAG na hasa ikizingatiwa kuwa Ofisi inayokaguliwa ( NAO) imesheheni wabobezi wa Uhasibu na Ukaguzi?

Na tatu, baada ya kukaguliwa ripoti ya ukaguzi anapelekewa nani kwa ajili ya hatua zaidi au utekelezaji?

Msaada kwenye tuta tafadhali.

Maendeleo hayana vyama!

Sasa kila mwaka CAG hulalamika kuwa bajeti haitoshi, tunataka kujua je ni kwei haitoshi au ni matimzi ya hivyo hovyo
 
Ipo kikatiba ofisi y CAG kufanyiwa auditing angalau mara moja kwa mwaka na Bunge ndo limepewa mamlaka kikatiba kutafuta external private auditing Firm/company kwa ajili ya kukagua ofisi ya CAG
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom