Je kuagiza Crown athlete SBT ni kuanzia millions 16.5

Wana JF kwema.
Nna kamzigo ka 18 millions,nilivyojisajili SBT baada ya kupitia Uzi wa Wana JF, baada ya siku Moja nilipigiwa simu na mtu aliyejitambulisha kuwa ni agent wa SBT ,alinipa maelezo kadhaa na kunambia kama nnahtaji gari basi nimpigie ili anielekeze office za SBT zilipo hapa DSM kwa maelezo zaidi.
Nami nilimuuliza kabla sijafika ofisin ,naweza kuagiza crown athlete kwa millions 18 akanambia ndio zinaanzia 16.5 millions na kuendelea kulingana na condition zake Kisha akantumia links za SBT zenye crown athlete na bei zake .nami nika click na kutazama bei na TRA ushuru direct zinaanzia hapo hapo,
Je huyu mtu ni kweli maana nilisomaga Uzi humu JF Kuna mjomba alipigwa 10 millions

Kama upo Dar nenda ilipo ofisi hiyo ya SBT kuliko uje kulia lia humu baadae
 
Wana JF kwema.
Nna kamzigo ka 18 millions,nilivyojisajili SBT baada ya kupitia Uzi wa Wana JF, baada ya siku Moja nilipigiwa simu na mtu aliyejitambulisha kuwa ni agent wa SBT ,alinipa maelezo kadhaa na kunambia kama nnahtaji gari basi nimpigie ili anielekeze office za SBT zilipo hapa DSM kwa maelezo zaidi.
Nami nilimuuliza kabla sijafika ofisin ,naweza kuagiza crown athlete kwa millions 18 akanambia ndio zinaanzia 16.5 millions na kuendelea kulingana na condition zake Kisha akantumia links za SBT zenye crown athlete na bei zake .nami nika click na kutazama bei na TRA ushuru direct zinaanzia hapo hapo,
Je huyu mtu ni kweli maana nilisomaga Uzi humu JF Kuna mjomba alipigwa 10 millions
Angalia. Utapigwa. Hapa kuna matapeli usipokuwa mwangalifu.
 
Angalia usije ukapigwa wewe

Kama vipi ingia kwenye website uagize wewe mwenyewe

Nakushaur uingie befoward bei kidogo reasonable na kama una nguvu agiza majest crown hautajutia
 
Wana JF kwema.
Nna kamzigo ka 18 millions,nilivyojisajili SBT baada ya kupitia Uzi wa Wana JF, baada ya siku Moja nilipigiwa simu na mtu aliyejitambulisha kuwa ni agent wa SBT ,alinipa maelezo kadhaa na kunambia kama nnahtaji gari basi nimpigie ili anielekeze office za SBT zilipo hapa DSM kwa maelezo zaidi.
Nami nilimuuliza kabla sijafika ofisin ,naweza kuagiza crown athlete kwa millions 18 akanambia ndio zinaanzia 16.5 millions na kuendelea kulingana na condition zake Kisha akantumia links za SBT zenye crown athlete na bei zake .nami nika click na kutazama bei na TRA ushuru direct zinaanzia hapo hapo,
Je huyu mtu ni kweli maana nilisomaga Uzi humu JF Kuna mjomba alipigwa 10 millions
Mzee hata usiwaze sana. Google ofisi za SBT Tanzania zilipo. Nenda ofisini, waeleze shida yako. Mtachagua magari na ukiridhika watakupa utaratibu wa kufanya malipo. Achana na hizi habari za kupigiwa simu na agent wao ingawa wakati mwingine ukitaka ku bargain huwa wanapiga simu. NENDA OFISINI KWAO.
 
Wana JF kwema.
Nna kamzigo ka 18 millions,nilivyojisajili SBT baada ya kupitia Uzi wa Wana JF, baada ya siku Moja nilipigiwa simu na mtu aliyejitambulisha kuwa ni agent wa SBT ,alinipa maelezo kadhaa na kunambia kama nnahtaji gari basi nimpigie ili anielekeze office za SBT zilipo hapa DSM kwa maelezo zaidi.
Nami nilimuuliza kabla sijafika ofisin ,naweza kuagiza crown athlete kwa millions 18 akanambia ndio zinaanzia 16.5 millions na kuendelea kulingana na condition zake Kisha akantumia links za SBT zenye crown athlete na bei zake .nami nika click na kutazama bei na TRA ushuru direct zinaanzia hapo hapo,
Je huyu mtu ni kweli maana nilisomaga Uzi humu JF Kuna mjomba alipigwa 10 millions
Kwa 18 million, nunulia humu ndani sio lazima uagize ... hasa majira ya haya ya holiday.. unapata crown grs200 au grs204.. imenyooka
 
Back
Top Bottom