Mhafidhina07
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 3,678
- 5,166
habar wakuu naomba kuuliza kozi ya human resouces ni nzur kwa kijana wa kiume coz naona kama ina wigo mpana sana mbelen hivo nipen maujanja.
[emoji28] [emoji28] [emoji23] sodoka mtalaam wa field zotetumsubir sodoka aje atupe maujanja zaidi
namkubali sana huyu jamaa sodokaaa[emoji28] [emoji28] [emoji23] sodoka mtalaam wa field zote
habar wakuu naomba kuuliza kozi ya human resouces ni nzur kwa kijana wa kiume coz naona kama ina wigo mpana sana mbelen hivo nipen maujanja.
duuuh kweli fact eeh...hv ushamaliza chuo??ujue mie uwa naongea maneno kuntu yenye FACT ...mie sio mwanasiasa naongea kitu real ....hii HR ni course ya njaa kwa sasa achana nayo iogope kama Bi Clinton anavyomwona Trump kwa sasa ....soma kitu kingine au kama vip achana na elimu fanya mishe zningne
kitambo sana ....njoo nikupe kazi kama haunaduuuh kweli fact eeh...hv ushamaliza chuo??
ujue mie uwa naongea maneno kuntu yenye FACT ...mie sio mwanasiasa naongea kitu real ....hii HR ni course ya njaa kwa sasa achana nayo iogope kama Bi Clinton anavyomwona Trump kwa sasa ....soma kitu kingine au kama vip achana na elimu fanya mishe zningne
unatoa kazi tena respect brazakitambo sana ....njoo nikupe kazi kama hauna
Mchambuz SODOKA dogo wang kapangiw BPLM pale NIT vp ikoje hiyo anaweza kutoboza??????
SODOKA naona elimu haitak kuisikia kabisa maana kila mtu anapogusa unasema sipo..au ww mwalim unataka wote twende uko??Mwache akapige tu kama anaipenda from moyoni na kama michongo ya ajira ipo tayari ushamsetia akmaliza anadumbukia sio aje hapa anataka ushauri wa kubahatisha ataishia kutembea na bahasha tu
Ukweli mchungumkuu hii kozi ina watu wengi na wengi wako mtaani, pia uwanja wake sasa umebanwa na watu wa sosholoji na uongozi (public adm.) kama uko poa kwenye hesabu soma bussiness adm. in human resource kidogo naona iko poa.