tremendous
JF-Expert Member
- Aug 12, 2016
- 3,237
- 5,325
Umetisha sana mkuu.Wale wa Znz mkubwa kabisa anapush 160 na wanasema ndiokwanza yupo kwenye ujana wa miaka 30 ya binadamu! Wangekuwa wanasema wale wangetuambia mengi kuhusu nchi zetu tuondokane na hizi story za mashujaa wa uongo uongo!
Hii nayo kali, hahaaaaa mwaka mzima wanapiga gegedo? Ngumu kumezaNasikia hata kasa akimpanda jike basi ni mwaka mzima hamuachii na siku atakayomwachiaa basi jike ni lzm akimbilie juu kwenda kutaga
Nalog off
Usitulishe matango pori[emoji115] [emoji115]Nasikia hata kasa akimpanda jike basi ni mwaka mzima hamuachii na siku atakayomwachiaa basi jike ni lzm akimbilie juu kwenda kutaga
Nalog off
Kila mlo na kobe?Alikuwa ana kobe wengi sana eeKuna padri mmoja kule pawaga aliishi miaka 100....amefariki mwaka juz (R.I.P) alikuwa anakula sana kobe na Samaki yaan hakuna mlo upite bila mnofu wa either Kobe or Samaki na alituambia ukitumia Kobe unaongeza miaka ya kuishi
Hivi viumbe ni noma, yaani hata viboko nao wakati wa kugegedana ni nomaHii nayo kali, hahaaaaa mwaka mzima wanapiga gegedo? Ngumu kumeza
Mbona na chumvi yanalika tuUsitulishe matango pori[emoji115] [emoji115]
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23], unamjua NYEDI??Mbona na chumvi yanalika tu
Nalog off
Wewe@mtengwa II noma sanaKobe hafi, labda adondoke chali!!!