Mimi naona ni lijangiri ila kama yeye anakana aje ajitokeze authibitishie umma kuwa yeye sio jangili, utetezi aloutoa hapo awali, haukutosha kumsafisha, mana ilikuwa either akiri kuhusika au alternatively akiri kuwa yeye ni mkwepa kodi mana ule mzigo inaoenesha TRA hakakuutoza kodi na kama waliutoza kodi basi mfanya tax valuation ya huo mzigo ilibidi muda huu tunaoongea awe anapumulia Segerea au Keko. Yote haya hayajafanyika hadi sasa, lituhumiwa Linadunda kwenye majukwaa ya sias, maafisa wa TRA waloruhusu mzigo kupakiwa kwenye meli wanazunguka kwenye viti ofisin had leo katika hali kama hiyo kwann tusiseme huu mzigo wa meno ni wa Kinana na wakubwa wenzake????? Hili ni la kuburuta kortini tu. Kina Nape badala ya kuongelea ishu za hivi wao wanang'ang'ana na kadi, wachumia tumbo bana!!!!!!!!!!!!!!!!!!