Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 53,340
- 120,866
Wanabodi,
Japo huu utumbuaji unashangiliwa sana, mimi nina swali moja tuu la kujiuliza, jee kila utumbuaji ni wa haki?!, hakuna uwezekano kuna baadhi ya utumbuaji sii wa haki bali ni kumkomoa tuu mhusika na aliyemteua ambaye ni JK?!, kwa sababu ya dhana tuu kufuatia muonekano wa mtu, hivyo watu kudhania sababu za fulani kuteuliwa licha ya vigezo, pia kuna kaji ubinaadamu kidogo kutokana na muonekano?, maana JK naye ni binadamu tuu, ana macho na yanaona, na Magufuli pia ni binadamu tuu, na yeye ana macho na yanaona!, sasa katika ubinaadamu huu, na hizi teuzi nyingine, licha ya kukidhi vigezo, pia kuna uwezekano wa kuwepo ubinaadamu...!, hivyo na katika kutumbua, ilibidi pia ubinaadamu uzingatiwe?.
Miongoni mwa sifa kuu za binadamu, ni pamoja na sifa inayoitwa udhaifu!, jee hauwezekani katika tumbua tumbua, kuna wanaotumbuliwa kwa udhaifu tuu wa kibinaadamu, hivyo wametafutiwa sababu?!, maana teuzi nyingine .... Mashalah... hata ningekuwa mimi...!.
Nashauri hizi presidential appointment powers ziwe very closely counter checked ku avoid rais kuwateua baadhi ya wateule kwa sababu za kibinaadamu tuu, zaidi ya sifa pekee, na kama ni hivyo, jee huu ni udhaifu!.
Naomba kuchukua fursa hii kuwapongeza baadhi ya wateule hawa, kwa kuwa na sifa za kuteuliwa
Kiukweli hata rais kama ndio ningekuwa mimi, na nina macho ya kuona ninayo yaona, na macho yakiona moyo nao..., nikukutana na watu kama hawa na wanasifa na kukidhi vigezo, kwa nini nisiwateue?!, na pale ninapoingia na kuwakuta tayari waliishateuliwa na mtangulizi wangu, then kwa nini na mimi nisiwaache tuu waendelelee tuu kulitumikia taifa hata kama kuna vikosa vidogo vidogo ni kuvihesabu tuu kama viijipu uchungu, sio lazina vitumbuliwe?!.
Naomba kumalizia huu uzi kwa lile swali la msingi, ili watu tujikite kwenye hoja tuu!,
Jee Kila Utumbuaji ni Wa Haki, Au Kuna Kumkomoa Kikwete, kwa kuwatumbua baadhi ya wateule wake ?!.
Kiukweli kabisa toka ndani ya nafsi yangu, kuna baadhi waliotumbuliwa, ila mimi mwenye macho mafupi, sijaona makosa yao, kwa vile serikali ina macho marefu, labda kuna mambo wameyaona ambayo sisi hatujayaona ndiyo yaliyopelekewa kutumbuliwa kwao na sio hizo sababu za visingizio zinazotolewa?!.
Pasco