zamuhalelu
Senior Member
- Oct 5, 2017
- 140
- 140
- Thread starter
-
- #61
kweli mkuu na ndiyo maana hatukuzaliwa pamoja bali tumepishana miaka na miezi...Kitakachokusaidia ukikopa ni muda wa kuanza biashara mfano mi nimechukua mkopo na wewe unawekeza kwenye kibubu, mimi nikienda benki napewa say 10 milioni leo naanza biashara halafu nakatwa kila mwezi say kwa miaka miwili halafu wewe unaweka kwenye kibubu fedha hadi ifike milioni 10 labda itakuchukua mwaka mmoja na nusu. Kwa muda huo mimi nitakuwa nimeshapata uzoefu mkubwa sana wa biashara na kuzijua changamoto zake na pia nitakuwa nimeshaanza kuonja faida na kujua nini cha kufanya na kulisoma soko. Muda ni muhimu sana katika maisha ya uwekezaji
Ahaa iko hivi.. ukiiangalia hiyo kitu ni kuanzia January hadi December. Na hapo kaamua siku ya kwanza iwe ijumaa ya kwanza kwenye mwezi wa kwanza. Na kila ijumaa ikifika unaweka buku tatu kwenye kibubu. so unaona hiyo column ya pili ina 1,8,15,22 na 29. means mwezi wa kwanza ulikuwa na ijumaa 5. Na ukiweka 3,000 ijumaa ya kwanza, ijumaa ya pili unaongeza 3,000 inakuwa 6000, ya tatu unaongeza buku tatu pale kwenye 6000 inakuwa 9000 na kuendelea.Na ukifuatia hizo week ( kuna title kaandika week number pale juu) utaona kwa mwaka mzima kuna week 52, na hiyo itakuwa ijumaa ya tarehe 24 december hii.. kwa hiyo unaona alipomaliza ijumaa ya mwisho ya mwezi January ilikuwa unaweka sh.15,000. ukiingia mwezi wa pili unachukua ile 15,000 unaongeza 3000 inakuwa ijumaa ya kwanza ya mwezi wa pili unaweka 18,000 so mtiririko ndo huo hadi mwisho..kiongozi hyo hata mie nimeicheki naona taswira yake iko poa ila sikuelewa vzuri labda kutokana uchache wa kutambua mambo ya kimuamala...
aje atupe maelezo zaidiiii
unaweka benki au wapi mkuuu?Ahaa iko hivi.. ukiiangalia hiyo kitu ni kuanzia January hadi December. Na hapo kaamua siku ya kwanza iwe ijumaa ya kwanza kwenye mwezi wa kwanza. Na kila ijumaa ikifika unaweka buku tatu kwenye kibubu. so unaona hiyo column ya pili ina 1,8,15,22 na 29. means mwezi wa kwanza ulikuwa na ijumaa 5. Na ukiweka 3,000 ijumaa ya kwanza, ijumaa ya pili unaongeza 3,000 inakuwa 6000, ya tatu unaongeza buku tatu pale kwenye 6000 inakuwa 9000 na kuendelea.Na ukifuatia hizo week ( kuna title kaandika week number pale juu) utaona kwa mwaka mzima kuna week 52, na hiyo itakuwa ijumaa ya tarehe 24 december hii.. kwa hiyo unaona alipomaliza ijumaa ya mwisho ya mwezi January ilikuwa unaweka sh.15,000. ukiingia mwezi wa pili unachukua ile 15,000 unaongeza 3000 inakuwa ijumaa ya kwanza ya mwezi wa pili unaweka 18,000 so mtiririko ndo huo hadi mwisho..
Ndo nikasema huku mwazo ilikuwa rahisi nafloo na biti kwenye jedwali vizuri..ilipofika mwezi wa saba ha ha ha... ila naendelea, nataka hadi december nifanikishe lengo....
Nadhani umeelewa maelezo sasa, kama kuna la kuuliza karibu
ha ha ha..hii ni ya kibubu mkuu.. tena kimechomewa na kufungwa kabisa na fundi wa welding na nikija kutoa hela mwisho wa mwaka inabidi kikachanwe kwa mashine kwa sababu ni cha bati ngumu zile zinazotengenezea mageti.. kachana tuu kidogo kwa juu sehemu ya kuingizia hela.. hakuna cha funguo wala nini.. benki nikiweka si natoa tuu...unaweka benki au wapi mkuuu?
duuh mkuu uko vizuri nimeipenda hyoooo...ha ha ha..hii ni ya kibubu mkuu.. tena kimechomewa na kufungwa kabisa na fundi wa welding na nikija kutoa hela mwisho wa mwaka inabidi kikachanwe kwa mashine kwa sababu ni cha bati ngumu zile zinazotengenezea mageti.. kachana tuu kidogo kwa juu sehemu ya kuingizia hela.. hakuna cha funguo wala nini.. benki nikiweka si natoa tuu...
poa kiongozi ntakucheki watsap ili tubadilishane mawzousihofu...0788 572644
Mmmmmmh!Ahaa iko hivi.. ukiiangalia hiyo kitu ni kuanzia January hadi December. Na hapo kaamua siku ya kwanza iwe ijumaa ya kwanza kwenye mwezi wa kwanza. Na kila ijumaa ikifika unaweka buku tatu kwenye kibubu. so unaona hiyo column ya pili ina 1,8,15,22 na 29. means mwezi wa kwanza ulikuwa na ijumaa 5. Na ukiweka 3,000 ijumaa ya kwanza, ijumaa ya pili unaongeza 3,000 inakuwa 6000, ya tatu unaongeza buku tatu pale kwenye 6000 inakuwa 9000 na kuendelea.Na ukifuatia hizo week ( kuna title kaandika week number pale juu) utaona kwa mwaka mzima kuna week 52, na hiyo itakuwa ijumaa ya tarehe 24 december hii.. kwa hiyo unaona alipomaliza ijumaa ya mwisho ya mwezi January ilikuwa unaweka sh.15,000. ukiingia mwezi wa pili unachukua ile 15,000 unaongeza 3000 inakuwa ijumaa ya kwanza ya mwezi wa pili unaweka 18,000 so mtiririko ndo huo hadi mwisho..
Ndo nikasema huku mwazo ilikuwa rahisi nafloo na biti kwenye jedwali vizuri..ilipofika mwezi wa saba ha ha ha... ila naendelea, nataka hadi december nifanikishe lengo....
Nadhani umeelewa maelezo sasa, kama kuna la kuuliza karibu
kibubu ni kisanduku cha mbao kinachongwa kisha mule ndani kunakuwa wazi alafu kuna kampenyo kadoogo kanaachwa kwa ajili ya kuingizia pesaKibubu ni nini?
vp mbna mmmmmm???Mmmmmmh!
Asante mkuu jina lingine ni 'money box'. or pig bankkibubu ni kisanduku cha mbao kinachongwa kisha mule ndani kunakuwa wazi alafu kuna kampenyo kadoogo kanaachwa kwa ajili ya kuingizia pesa
amna tabu kiongozi vipi unaionaje kwa muono wako iko poa au waiona vipi?Asante mkuu jina lingine ni 'money box'. or pig bank
Mimi nina saving account na nimekubaliana na bank kila mshahara ukiingia kuna direct debit unakwenda huko pia kila nikitumia Malipo ya kadi bank wanakata kwa alfu ya karibu yaani kama nimelipia vitu vya 4,600 ninakatwa 5,000 na 400 unakwenda kwenye saving account.amna tabu kiongozi vipi unaionaje kwa muono wako iko poa au waiona vipi?
Emu nielekezeMimi nimejaribu hii hapa chini toka mwezi wa mwanza..ila sasa vyuma vimekaza nilipofika mwezi wa saba nikaanza kupumulia mashine, kwa hiyo nina deni la mwezi wa nane na wa tisa..du.. ila i hope nitafanikiwa lazma nikamilishe kila mwezi na december ikifika niwe na hiyo amount.. nimetengeneza kibubu cha chuma kabisa ambacho siwez kukifungua hadi kupeleka kwa fundi welding. Ukiangalia hapo kila wiki inaongezeka 3000..
View attachment 603224
Mambo vipi Na Mimi naomba ushauri kila mwezi na save laki 1 naweka kwenye akiba account CRDB Wana makato makubwa naomba unipe na Mimi maujanja.ntumie yako ya watsap nkuoneshe sehemu tu ya maisha yangu, najivunia possitive ideas zangu, siwez kuzmwaga hapa, NB: muulize mhusika baada ya ku n pm nn tumeshauriana, usiwe kama ulizaliwa njit wewe ## pambana na hali yakoo
ndyo mana nna mashaka na benkiii hizi...Mambo vipi Na Mimi naomba ushauri kila mwezi na save laki 1 naweka kwenye akiba account CRDB Wana makato makubwa naomba unipe na Mimi maujanja.
njoo inbox kakaMambo vipi Na Mimi naomba ushauri kila mwezi na save laki 1 naweka kwenye akiba account CRDB Wana makato makubwa naomba unipe na Mimi maujanja.
mkuu plz nipe namba nkucheki tuchange maujanjanjoo inbox kaka
ntumie namba yako inboxmkuu plz nipe namba nkucheki tuchange maujanja