Je Kenya ni salama.

Indume Yene

Platinum Member
Joined
Mar 17, 2008
Posts
2,968
Reaction score
727
Wakuu nilikuwa najaribu kuangalia ullinzi wa mwanamuziki wa Marekani Shaggy alipotembelea nchini Kenya. Ukijaribu kuhesabu walinzi aliokuwa nao, utagundua kuwa hata IGP wetu hana huo ulinzi. Je, hii ni kwa sababu Kenya hakuko salama au kuna sababu nyingine?

 
yuko kenya kwa ajili show... na hiyo show ya Tusker iko chini ya Prime time promotion pamoja na clouds
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…