usiambini
JF-Expert Member
- Jan 12, 2013
- 627
- 558
Mh.Rais alipokua akiwahutumia wananchi chato huko Geita amenukuliwa akisema "Hakuna mtu yeyote kutoka nje anaweza kutuletea maendeleo kutoka nje,Ni nyinyi watanzania wenyewe ndio mutajiletea maendeleo"
Naomba kujua hivi hile miradi ya maendeleo ilioketwa na kuchangiwa buget yetu kwa asilimia 40 je ni nini??
MCC1 -imeshapita na kutoa fedha kwa miradi mbali mbali ya maendeleo wao wanatoka wapi???
Hawa wajapan walio toa 200m usd Je wanatoka wapi .Na je ule mradi wa kinyerezi wanaotaka kutolea msaada si maendeleo??
Je yake mabango makubwa katika miradi ya maendeleo inayo andikwa financier "World bank". ama "USAID" hawa wanatoka wapi??
Je miradi mikubwa ya bara bara inayo onesha financier Kua mashirika ya nje ni vipi inakua??
Na je mashirika ya nje yanayojitolea kuja kufanya tafiti na matibabu pamoja na wataalamu mfano wa israil,wahindi nk inakuaje???
Na hata hawa wanaojitolea kwenye makambi ya wakimbizi ni nani??
Na hawa investors katika miradi mikubwa ni nani;
Na je kuna watanzania wanaojitolea katika miradi mikubwa na kutoa misaada zaidi ya bilioni 5???