Je ? Katiba mpya imeishia wapi ?

Je ? Katiba mpya imeishia wapi ?

Joined
Mar 19, 2012
Posts
16
Reaction score
1
Mboni kimya kingi kuhusu mchakato mzima wa uandikaji wa katiba mpya kwani watanzania tupo kimya tukifuatilia suala hili kwa kina kwani tunatambua katiba n imzingi na mwongozo wa kila mtanzani katika shughuli zake za kila siku. Hivyo basi wakilishi wetu ni vema wakati huu mungeweza kutumia wakati wenu kushughulikia suala hili kabla ya bunge la bajeti kuanza ili wizara husika kufafanya tasmini ya gharama mzima kwa zoezi hili ambalo ndio kitovu cha taifa kwa ujumla.
 
Back
Top Bottom