Je, Kasri la malkia halina mabunduki?

Je, Kasri la malkia halina mabunduki?

Dokta Uchwara

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2022
Posts
1,370
Reaction score
3,154
Wengine tulishazoea kuona mamitutu ya kutisha kwenye hafla mbalimbali za kisiasa.

Nimetizama msiba wa malkia Elizabeth sijaona mabunduki wala migambo wenye miwani meusi.

Msiba umekaa kiutulivu hadi raha. Mambo yanaenda kisomi.

Hata waombolezaji wamepangiliwa kwa utaratibu. Hakuna mbwembwe za misururu ya magari na ving'ora vya ajabu ajabu.

Hii ndio raha ya kuelimika. Hakuna makeke ya migambo uchwara wenye mabunduki makubwa.
 
Watu wanalindwa na majini yao na mizimu yao. Ukoo wa kichawi sana
 
mnasifia kila kitu mpaka mnaonekana mafala.

kapeleke kalio lako pale utajua mabunduki yapo au hayapo.

Bunduki zipo lakini sio za kishamba kama huku. Kwa hizi sifa za kijinga za huku kama ingekuwa tuna kiwanda cha kutengeneza bunduki ingekuwa ni shida. Hao wana viwanda vya kutengeneza bunduki lakini wana ustaarabu nazo kupita kiasi. Katika mazingira hayo ndio unajua kwanini wazungu huwa wanatuita manyani.
 
Wengine tulishazoea kuona mamitutu ya kutisha kwenye hafla mbalimbali za kisiasa.

Nimetizama msiba wa malkia Elizabeth sijaona mabunduki wala migambo wenye miwani meusi.

Msiba umekaa kiutulivu hadi raha. Mambo yanaenda kisomi.

Hata waombolezaji wamepangiliwa kwa utaratibu. Hakuna mbwembwe za misururu ya magari na ving'ora vya ajabu ajabu.

Hii ndio raha ya kuelimika. Hakuna makeke ya migambo uchwara wenye mabunduki makubwa.
Yale manguo yote mekundu ,makofia marefu nk ni wanajeshi hao mkuu.
 
Wengine tulishazoea kuona mamitutu ya kutisha kwenye hafla mbalimbali za kisiasa.

Nimetizama msiba wa malkia Elizabeth sijaona mabunduki wala migambo wenye miwani meusi.

Msiba umekaa kiutulivu hadi raha. Mambo yanaenda kisomi.

Hata waombolezaji wamepangiliwa kwa utaratibu. Hakuna mbwembwe za misururu ya magari na ving'ora vya ajabu ajabu.

Hii ndio raha ya kuelimika. Hakuna makeke ya migambo uchwara wenye mabunduki makubwa.
Bundiki zilikuepo tena zote ni kama zile za S. W. A, T kulikua na vikosi vya kila aina na walikua kila sehemu juu ya majengo kwa marikia, kwenye mchanganyiko wa raia na ilikuingia eneo la tukio una scaniwa getin kwanza na mitambo maalum unapita katikati ya hiyo scanner kulikua na ulinzi wa kusaza
 
Wengine tulishazoea kuona mamitutu ya kutisha kwenye hafla mbalimbali za kisiasa.

Nimetizama msiba wa malkia Elizabeth sijaona mabunduki wala migambo wenye miwani meusi.

Msiba umekaa kiutulivu hadi raha. Mambo yanaenda kisomi.

Hata waombolezaji wamepangiliwa kwa utaratibu. Hakuna mbwembwe za misururu ya magari na ving'ora vya ajabu ajabu.

Hii ndio raha ya kuelimika. Hakuna makeke ya migambo uchwara wenye mabunduki makubwa.
Kulikua mpaka na masniper kwenye miti mirefu tizama picha hapo chini
Screenshot_20220919-220101_Gallery.jpg
Screenshot_20220919-220127_Gallery.jpg
Screenshot_20220919-220328_Gallery.jpg
Screenshot_20220919-220216_Gallery.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom