Je, karipio la Rais wa TFF Kwa marefa ita-affect vipi Simba msimu huu?

Labani og

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2020
Posts
22,854
Reaction score
32,657
MICHEZO: Rais wa TFF na Mjumbe wa Kamati ya Utendaji CAF, Wallace Karia akizungumza wakati wa kufunga Semina ya Waamuzi wa Ligi Kuu ya NBC Makao Makuu ya TFF, Karume, Ilala amesema;

“Msimu huu utakuwa msimu wa tofauti sana, kwa wale ambao watafanya vizuri tutapongezana na kwa wale ambao watakuwa wapo tofauti tutakuwa tumeachana nao moja kwa moja kwenye hilo SITANII” – Wallace Karia

Mwamuzi gani unamuona akikumbana na “SITANII” ya Rais Karia

Sababu tumezoea kuona marefa wengi hufungiwa kwenye mechi za Simba Kwa kubeba

Simba walipata penalty nyingi za mchongo.

1757111892618.jpg

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
#MICHEZO: Rais wa TFF na Mjumbe wa Kamati ya Utendaji CAF, Wallace Karia akizungumza wakati wa kufunga Semina ya Waamuzi wa Ligi Kuu ya NBC Makao Makuu ya TFF, Karume, Ilala amesema;

“Msimu huu utakuwa msimu wa tofauti sana, kwa wale ambao watafanya vizuri tutapongezana na kwa wale ambao watakuwa wapo tofauti tutakuwa tumeachana nao moja kwa moja kwenye hilo SITANII” – Wallace Karia

Mwamuzi gani unamuona akikumbana na “SITANII” ya Rais Karia?
#Michezo #Hainakuchoka #EastAfricaTV

Sababu tumezoea kuona marefa wengi hufungiwa kwenye mechi za Simba Kwa kubeba

Simba walipata penalty nyingi za mchongo....View attachment 3466414

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Sio kalipio ni karipio
 
Huu ni mkwara tu yule dingi kipara hana lolote, mtoto akitumwa kutukanwa wageni na wazazi huwa hapigwi,
Msimu ulioisha TFF walipanga simba kuwa bingwa kwa nguvu kupitia mbeleko ya marefa na makolo wakaangukia pua
Msimu huu marefa wataruhusu simba kucheza 12 uwanjani na kipara hatofanya lolote maana ndo boss wao kwani ye hakuwa akiona Simba wakipewa penati 40?, uzuri ni mmoja tu Azam Tv huonesha laivu madudu yote na kusaidia CAF kuona na kuwatupa nje marefa wa Tanzania wenye njaa.

Yanga bingwa tena!
 
Kama kweli hatanii, kwaheri Tatu Malogo...!!!
Ukiwaondoa akina Tatu Malogo, Kefa Kayombo, Japhet Smart, Shomary Lawi, Amina Kyando, na Heri Sasii kuchezesha mechi za simba; haki ya nani hii timu itashika nafasi ya 10 kwenye msimamo wa ligi.
 
MICHEZO: Rais wa TFF na Mjumbe wa Kamati ya Utendaji CAF, Wallace Karia akizungumza wakati wa kufunga Semina ya Waamuzi wa Ligi Kuu ya NBC Makao Makuu ya TFF, Karume, Ilala amesema;

“Msimu huu utakuwa msimu wa tofauti sana, kwa wale ambao watafanya vizuri tutapongezana na kwa wale ambao watakuwa wapo tofauti tutakuwa tumeachana nao moja kwa moja kwenye hilo SITANII” – Wallace Karia

Mwamuzi gani unamuona akikumbana na “SITANII” ya Rais Karia

Sababu tumezoea kuona marefa wengi hufungiwa kwenye mechi za Simba Kwa kubeba

Simba walipata penalty nyingi za mchongo.

View attachment 3466414

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Haujifichi!
e.k.jpg
 
Kweli wenye akili ni wawili.
 
Karipio lake lilikuwa la kinafiki, naangalia match ya Coast vs prisons. Prisons wamenyimwa tuta la wazi tena refa alikuwa jiran na tukio akameza filimbi🚮🚮
 
Back
Top Bottom