Je Kapi/Oil Chafu Yaweza Takasika Tena?

" Je! Mkushi aweza kuibadili ngozi yake, au chui madoa-doa yake? Kama aweza, ndipo ninyi mwaweza kutenda mema, ninyi mliozoea kutenda mabaya. " Yeremia 13:23.


 
Haka kajamaa katakuwa kachawi sana
lakini wakati mwingine unaweza kuona ni sahihi kuwaita makapi na UKAWA wajifunze kwa huyu kuokotezaokoteza bila kufanya uchambuzi wa kina-huyu akiambiwa tunakurudisha ugombee CHADEMA atarudi CHadema Safari_ni_Safari
 
kitu ambacho mwanasiasa anasema kweli ni jina lake tu
 
wamkumbushe arudishe kadi tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…