Ukipenda boga penda na ua lake...
Asikurupuke, afanye uchunguzi taratibu tu japo watoto mara nyingi huwa wanasema ukweli. Ila asijali, awe mvumilivu tu atajua ukweli.Ndo mana watu wanaogopa san kuoa wanawake waliokwisha zaa na wanaume wengine kuepuka mambo km haya.
kwa umri wa yule mtoto ni kwamba anajua kila kitu sio rahisi kuongopa ana miaka 13
kwani kuna ubaya wa yy kuwasiliana na mzazi mwenziwe?maana kama. Mnavyojua. Mtalaka atongozwii si ajabu walikua na maugomvi zaman na baba watoto wake ila saivi wako vzuri so mi naona iko pouwer tu kikubwa heshima tu kati ya mwanamke na currently hubby ambaye ni rafk ako ww!na aache wivu
siungi mkono unyanyasaji wa wanawake kwenye ndoa ila huyo mama anastahili kupigwa MAKOFI kadhaa kabla hajaanza kunyoosha maelezo....
Hakunaga UONGO mdogo....UONGO ni UONGO tu...
Lara kwa maelezo ya huyu mtoto jamaa anasema ni kweli inawezekana alimtumia pesa maana siku za nyuma aliwahi kumtumia huyu mama sms usiku japo ilikuwa ya salam tu,jambo ambalo lilimfanya huyu mwanamme kumkalisha mkewe chini kiustarabu na kumwambia kwamba hiyo tabia ikome,kwa hiyo jamaa anasema kuna uwezekano wanawasiliana kwa siri,kuna maswali jamaa anajiuliza kwa nini awasiliane na huyu baba wakati kama ni matunzo anatoa zote na vizuri? na kama huyu mwanamme anampenda mwanae kwa nini basi asimchukue amsomeshe yeye?na kama jamaa aliweza kuja huku dar wakaonana si kuna uwezekano wao kufanya kitu?na jamaa anadai yeye mkewe anammbana kiasi kwamba hata cm zake huyu mwanamke hukagua,mm nilishindwa kwa kweli cha kumshauri maana alikuwa anaongea kwa hisia kweliHaahaaaaaaaa! Its not a laughing matter!
Nahisi huyo mama anamdanganyaga tu mwanae asijisikie vibaya na kuona baba yake kamtelekeza! Hizo pesa ni mama tu alimpa mwanae akajua akimwambia zimtoka kwa baba yake atafurahi zaidi.
Mama hataki tu mtoto ajione mnyonge na ajisikie mpweke na asije kumchukia baba yake huko mbeleni. Maybe huyo baba anamnyanyasa so mama yake anacheza na psychology ya mtoto kuwa hata kama baba yako mlezi anakunyanyasa, your father still loves you and caresabou you, ili mtoto farijike.
Mwenzenu ndo maana nasita kuzaa manake kuna mazingira kumlea mtoto ni kumtesa.
Lara kwa maelezo ya huyu mtoto jamaa anasema ni kweli inawezekana alimtumia pesa maana siku za nyuma aliwahi kumtumia huyu mama sms usiku japo ilikuwa ya salam tu,jambo ambalo lilimfanya huyu mwanamme kumkalisha mkewe chini kiustarabu na kumwambia kwamba hiyo tabia ikome,kwa hiyo jamaa anasema kuna uwezekano wanawasiliana kwa siri,kuna maswali jamaa anajiuliza kwa nini awasiliane na huyu baba wakati kama ni matunzo anatoa zote na vizuri? na kama huyu mwanamme anampenda mwanae kwa nini basi asimchukue amsomeshe yeye?na kama jamaa aliweza kuja huku dar wakaonana si kuna uwezekano wao kufanya kitu?na jamaa anadai yeye mkewe anammbana kiasi kwamba hata cm zake huyu mwanamke hukagua,mm nilishindwa kwa kweli cha kumshauri maana alikuwa anaongea kwa hisia kweli
Wewe unaona iko poa kwakuwa ni mwanamke,kwa maelezo ya mtoa maada ni kwamba huyo mwanamke alisema hawana mawasiliano na baba mwenye mtoto na ndo maana jamaa kachukua jukumu la kumsomesha mtoto,sasa swali liko hapa kwanini huyo mwanamke anafanya mawsiliano na aliyezaa naye kwa siri? mpaka amekuja dar na wameonana bila mumewe kujua,na matumizi ya mtoto anatuma kwa siri wkt mtoto anahudumiwa na baba wa kambo kwanini waweke siri? huyo aliyezaa naye si ajitokeze ili wamkabidhi mtot wake amlee mwenyewe? kuna nini hapokwani kuna ubaya wa yy kuwasiliana na mzazi mwenziwe?maana kama. Mnavyojua. Mtalaka atongozwii si ajabu walikua na maugomvi zaman na baba watoto wake ila saivi wako vzuri so mi naona iko pouwer tu kikubwa heshima tu kati ya mwanamke na currently hubby ambaye ni rafk ako ww!na aache wivu