Je, kama Netanyahu ataendelea na mauaji ya kimbari dunia itafanya nini na je, anaaminika?

The Father of All

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2012
Posts
10,959
Reaction score
13,426
1760475818707.png

Dunia imeshuhudia na kushangilia 'kusainiwa' kwa mkataba wa amani almaaruf PEACE CONFERENCE 2025 kulikofanyika huko Sharm el Sheikh Misri. Japo hatuna uhakika wa kuleta majibu, maswali yanayosumbua ni kama ifuatavyo:
1) Je, Netanyahu na Trump wake wanaaminika?
2) Je, kama wataendelea na ujanja ujanja na ujambazi wao dunia itaendelea kuangalia bila kufanya lolote?
3) Je, wahuni hawa wameingia mkataba huu kuzima nguvu ya maandamano na upinzani dhidi ya mauaji ya kimbari ya Gaza au wameishiwa pumzi baada ya uchumi wa Israel kudorora na majeshi kuanza kuchoka vita?
4) Je, ni baada ya kujaribu kurejesha mateka wao na kushinda na kuamua kujitoa kimasomaso na kuepusha aibu kwa kujifanya wameshinda hivyo vita imekoma?
5) Je, itawezekana kupata suluhu wakati maigizo yote yaliwatenga wapalestina ambao ndiyo wenye ngoma yao?
Yetu macho na masikio.
Nawaza kichini chini na kupiga kelele kimya kimya Baba yenu.
 
Gaza itaendelea kuchapwa kila siku kwa sababu Hamas kamwe hawawezi kufuata kipengele cha huo mkataba cha kuweka silaha chini na kujitoa kwenye uongozi wowote hapo Gaza

Mpaka sasa vikosi vya IDF vinaikalia Gaza eneo kubwa zaidi na ili wajitoe kabisa Gaza Hamas wanatakiwa wafuate mkataba so usitegemee vita kuisha ila tutegemee namba ya wanao uwawa kua ndogo watu 5 hadi 10 kwa siku
 
Wapalestina wamebugi hiyo vita itarudi tena kwani waisrael ni watu wa visasi wanajipanga upya walichukue eneo husika.

Hapo ilikuwa vita hadi ukombozi
 
Makobaz hapo yamejichanganya, nyahu atazidisha kipigo tuu
 
View attachment 3488777
Dunia imeshuhudia na kushangilia 'kusainiwa' kwa mkataba wa amani almaaruf PEACE CONFERENCE 2025 kulikofanyika huko Sharm el Sheikh Misri. Japo hatuna uhakika wa kuleta majibu, maswali yanayosumbua ni kama ifuatavyo:
1) Je, Netanyahu na Trump wake wanaaminika?
2) Je, kama wataendelea na ujanja ujanja na ujambazi wao dunia itaendelea kuangalia bila kufanya lolote?
3) Je, wahuni hawa wameingia mkataba huu kuzima nguvu ya maandamano na upinzani dhidi ya mauaji ya kimbari ya Gaza au wameishiwa pumzi baada ya uchumi wa Israel kudorora na majeshi kuanza kuchoka vita?
4) Je, ni baada ya kujaribu kurejesha mateka wao na kushinda na kuamua kujitoa kimasomaso na kuepusha aibu kwa kujifanya wameshinda hivyo vita imekoma?
5) Je, itawezekana kupata suluhu wakati maigizo yote yaliwatenga wapalestina ambao ndiyo wenye ngoma yao?
Yetu macho na masikio.
Nawaza kichini chini na kupiga kelele kimya kimya Baba yenu.
Acha kujifariji kwa maneno mengi ambayo hata wewe mwenyewe huyajui!! Umeongelea mauaji ya kimbari ambayo hata hujui maana yake!! Umeongelea suala la mateka ambao Magaidi wa Hamas baada ya kupata kipigo cha mbwa-koko waliwaachia wao wenyewe kinyume na walivyokuwa wakisema kuwa hawawezi kuwaachia mateka hao mpaka waipate Palestina huru!!!

Nimeshangaa wamekubali kuwaachia mateka hao bila hiyo Palestina huru, Gaza Sasa inakaliwa 58% na wapalestina wanakalia 42% tu, viongozi wao wote wameuwawa na watu wao zaidi ya 65,000 kuangamizwa,na walisababisha Hassan Nasrallah aliyekuwa Ana wafungwa mkono 100% kuangamizwa yeye na Baraza lake lote na kuifanya Oct 07,2023 kokosa maana yoyote na hata wao wanajuta kwa nini walianzisha mashambulizi dhidi ya Israel Oct 07,2023!,
 
Hakuna anayejuta Kwenye vita ya ukombozi silaha began maisha yaendelee Kama wanakalia 58% means Hamas Hata acha silaha Wala Hata acha uongozi Gaza hii ni first phase ya makubaliano hivyo wao washikilie hayo maeneo lakini ndio hivyo Hamas wataendelea kutawala na kujenga miundo mbinu upya kwaajili ya mtanange ujao.

Tunajua janja ya IDF akizidiwa ana omba ceasefire ya mchongo ili apumzike wakati watu wamepumzika wao ndio wanashambulia Mpaka Sasa vita imesimama lakini Idf wanashambulia mara 15, yaàni ni Kama walivyowahadaa Lebanon tuu, ndio hivyo wanaweza ila mbuzi ya mkono Kwa mkono hawawezi ni Bure tuu, walijaribu ujinga huo Kwa muIran akawafumua wakaona huyu sio mwenzetu ceasefire ni ile ya muirani ukifanya fyoo na yeye anakubamiza, siku zote kafiri hana ahadi hapo tutegemee usumbufu na kushambuliwa huku mwingine akiwa katka mkataba that's nonsense
 
Lengo kuu la Oct 07,2023 ni kupata Palestina huru cha ajabu Hamas ameachia mateka wote bila Palestina huru hii ni kwa sababu ya kipondo alichokipata kutoka majeshi hodari ya Israel.

Umeongelea kuhusu ushindi wa MICHONGO wa Iran dhidi ya Israel, Kwanza Iran kwa siku ya kwanza tu ya vita Iran ilipoteza makamanda waandamizi katika jeshi lake 30+ akiwemo Mkuu wa Majeshi ya Iran. Iran alipoteza wanasayansi wa Nuclear zaidi ya 60+ na wanamaji wake huko Bandar ABBAs zaidi ya 1,000 waliangamizwa isitoshe ndege-vita za Israel ziliweza kulitawala anga lote la Iran kwa siku zote 12 za vita. Nakushangaa sana kwa kujifariji kwa kusema Waliwafumua!!!.
 
Mbona mliheshimu ceasefire? Fanyeni kama Lebanon Kwa papet zenu tuone
 
Acha kujifariji kwa maneno mengi ambayo hata wewe mwenyewe huyajui!! Umeongelea mauaji ya kimbari ambayo hata hujui maana yake!! Umeongelea suala la mateka ambao Magaidi wa Hamas baada ya kupata kipigo cha mbwa-koko waliwaachia wao wenyewe kinyume na walivyokuwa wakisema kuwa hawawezi kuwaachia mateka hao mpaka waipate Palestina huru!!!

Nimeshangaa wamekubali kuwaachia mateka hao bila hiyo Palestina huru, Gaza Sasa inakaliwa 58% na wapalestina wanakalia 42% tu, viongozi wao wote wameuwawa na watu wao zaidi ya 65,000 kuangamizwa,na walisababisha Hassan Nasrallah aliyekuwa Ana wafungwa mkono 100% kuangamizwa yeye na Baraza lake lote na kuifanya Oct 07,2023 kokosa maana yoyote na hata wao wanajuta kwa nini walianzisha mashambulizi dhidi ya Israel Oct 07,2023!,
Haya MAMMBWA yamekataa kutoa maiti za mateka...sjui wanataka kuzifanyia nini aisee..mwamba Benjamin aaanze upya kuyaua haya MAMMBWA
 
View attachment 3488777
Dunia imeshuhudia na kushangilia 'kusainiwa' kwa mkataba wa amani almaaruf PEACE CONFERENCE 2025 kulikofanyika huko Sharm el Sheikh Misri. Japo hatuna uhakika wa kuleta majibu, maswali yanayosumbua ni kama ifuatavyo:
1) Je, Netanyahu na Trump wake wanaaminika?
2) Je, kama wataendelea na ujanja ujanja na ujambazi wao dunia itaendelea kuangalia bila kufanya lolote?
3) Je, wahuni hawa wameingia mkataba huu kuzima nguvu ya maandamano na upinzani dhidi ya mauaji ya kimbari ya Gaza au wameishiwa pumzi baada ya uchumi wa Israel kudorora na majeshi kuanza kuchoka vita?
4) Je, ni baada ya kujaribu kurejesha mateka wao na kushinda na kuamua kujitoa kimasomaso na kuepusha aibu kwa kujifanya wameshinda hivyo vita imekoma?
5) Je, itawezekana kupata suluhu wakati maigizo yote yaliwatenga wapalestina ambao ndiyo wenye ngoma yao?
Yetu macho na masikio.
Nawaza kichini chini na kupiga kelele kimya kimya Baba yenu.
Umeandika kimama mama kama jitu amablo linawaza likiwa tajiri linunue mabus ya yaandikwe Father of All kwenye bumber la nyuma. ulichoandika ni chuki tu. ndio kama wale wajinga waliokuwepo kule UN wanasema ti israel isimamishe vita huku wakiacha kuikemea Hamas. swali ulilouliza la kuaminika waulize Hamas maana hadi sasa mpira upo kwao uaminifu wameumaliza wakipgwa utasema wanaonewa? alafu kajifunze tafsir ya neno Genocide maana za kuambiwa changanya na zako jiondoshe kwenye news za wapumbavu uache fuata mkumbo. ujinga hautokuacha katika maisha yako utaishia ujingani tu. labda familia yako ingetekwa na hao Hamas ndio akili zitakukaa sawa
 
Kumbaff
 
Hawana cha kuwafanta Israel imeua watu wengi sana, kama wangekuwa wanaweza kuwazuia wangeshafanya hivyo.
 
Back
Top Bottom