Je, Jumatatu ni Public holiday?

mume

Member
Joined
Nov 24, 2011
Posts
12
Reaction score
3
nilipata habari zisizokua rasmi kwamba j3 ni public holiday, naomba kufahamishwa kwa taarifa za uhakuka juu ya hili.
 
JK unamjua unamsikia ? subiri aanze hotuba halafu agusie mambo ya bunge la katiba. kadri kinamama watakapo piga vigelegele ndipo atakapotangaza kua ni sikukuu mpaka mei mosi.

Hahahaha umeuwa!!
 
Itakua poa sana aisee ikiwa hivyo ,ngoja tuombe
 
Tafadhali naomba mnieleweshe maana sijaelewa...jumatatu ni public holiday kivipi??
 
Inawezekana ni public holiday manake sijaelewa kwa nini jana sitta wakati anaharisha bunge alisema tukutane jumanne na sio jumatatu. Mwenye taarifa atujuze pls.
 
Mleta mada yuk sahih kabisa kuuliza. Si mnakumbuk Zanzibar Shein alipotangaza mapumzik naye MKULU akakurupuka! Tanzania bwana,eti inarais mmoja!!
 
nimeliwaza hili jambo tangu iishe pasaka...
 
Likizo unajipa mwenyewe, usisubiri kupewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…