Kwan tatizo nn hapo kumsifia au ? Weka wazi
Magufuli na ukawa wote walimsapoti odinga kwa kila hali lakin mwisho wa siku laila akaangukia pua,so na wao wategemee matokeo ya kama ya odinga maana hakuna namna.
Kwa sababu Magufuli ni CHADEMA sivyo? Viroba vya asubuhi lazima vikutoe kamasi...
1.kukiuka utamaduni wa mashirikiano ya kimataifa na kwenda kushiriki kampeni za kisiasa za nchi jirani.
2.kutoa kauli sizizo na kiasi au kipimo kwamba Raila Odinga is so capable sheria ingemruhusu angemuachia aongoze jimbo lake la uchaguzi huku Tanzania.
Je, kwa mtizamo wa Magufuli, Raila Odinga is so important kiasi cha kumlazimisha Magufuli kuvunja taratibu za kidiplomasia na kwenda kumpigia kampeni? Je, hali hiyo itaendelea hata ikiwa Magufuli atachaguliwa kuwa Raisi wa Tanzania??

haikuwa mkutano wa kampeni joka mkuu,ilikuwa mkutano mkuu wa chama.
hata ccm huwa wanawaita wachina,na Anc joka kuuu..
jenga hoja ,acha porojo
Inamadhara gani kwetu sisi maskini,kalikosoe like kind I lenu LA majambazi name kiongozi wenu mgonjwa ndo uje hapa
Kuchaguliwa kwa John Magufuli kuwa Rais wa Tanzania, kutakuwa na impact kwenye uhusiano wa Tanzania na Kenya. Magufuli na Odinga ni marafiki wakubwa sana. Inasemekana urafiki ulianzia kwa wazazi wao. 2017 wakati wa uchaguzi nchini Kenya lazima Magufuli atatia mkono wake na balaa litaanzia hapo.
Kuna masuala kadhaa kama barabara ya Serengeti na kiwanda cha magadi kule ziwa Natron kwenye wale ndege ain ya korongo (Flamingo). Sijajua msimamo wa Pombe Magufuli kwenye masuala hayo. Pia lipo la kujenga ma hoteli kwenye hifadhi ya Serengeti.
Uhusiano ulianzia kwa wazazi wao? Unawajua wazazi wa Dr Magufuli wewe?? Kwahiyo hayati Jaramogi Oginga Odinga alikuwa swaiba wa babake Magufuli...ndugu zangu waTz tuache kujifanya tunajua ilhali hatujui!
Acha uongo ndugu!
Inasemekana urafiki ulianzia kwa wazazi wao.[/QUOTE
Read and understand before making your comments. Honor your name (ID)
Inasemekana urafiki ulianzia kwa wazazi wao.[/QUOTE
Read and understand before making your comments. Honor your name (ID)
Nashukuru kwamba unaelewa maana ya jina langu.
Hata kama inasemekana...hicho kinachosemekana ni UONGO!
Nashukuru kwamba unaelewa maana ya jina langu.
Hata kama inasemekana...hicho kinachosemekana ni UONGO!
Lete hizo facts kuondoa "inasemekana"