Je James Mbatia amevunja sheria za uchaguzi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Je James Mbatia amevunja sheria za uchaguzi?

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Mwanamayu, Sep 30, 2010.

 1. Mwanamayu

  Mwanamayu JF-Expert Member

  #1
  Sep 30, 2010
  Joined: May 7, 2010
  Messages: 7,944
  Likes Received: 2,091
  Trophy Points: 280
  Jana 29/09/2010 James Mbatia, mgombea ubunge jimbo la Kawe kwa tiketi ya NCCR – Mageuzi alikuwa akifanya Mkutano wa kampeni Tegeta zaidi ya saa 12.00 jioni (12.31). Hivi James atawafaa kweli wana-Kawe wakati hata sheria hazifuati? Hivi huu muda wa NEC saa 12 jioni maanake mpaka 12:59? Kama mwisho ni 12 kamili, sasa nyie NEC mko wapi kuwashughulikia hawa watu type ya JK? Kwa sababu mimi nimepita pale saa 12:31 na akiwa anaendelea!
   
 2. Lu-ma-ga

  Lu-ma-ga JF-Expert Member

  #2
  Sep 30, 2010
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 2,843
  Likes Received: 472
  Trophy Points: 180
  pANDIKIZI LA CCM WALA USIJADILI LINALETA KICHEFUCHEFU
   
 3. E=mcsquared

  E=mcsquared JF-Expert Member

  #3
  Sep 30, 2010
  Joined: Apr 1, 2009
  Messages: 221
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Halafu ningekuwa fisadi kwa statement yako hii tu ulikuwa tayari una zawadi kubwa sana pamoja na pesa taslimu si pingufu ya million 10! Nimeipenda sana saikolojia yako! Kule Iringa Mjini sasa hivi yameshaungana vyama 15 ili kura zigawanyike kati ya menyewe, Chadema na CCM. Nia tu ni kuhakikisha CCM inaishinda Chadema. Yalijua yasipoungana, Chadema atashinda. ADUI MKUBWA WA WATANZANIA WAZALENDO ATAENDELEA KUWA SI CHAMA TAWALA ILA NI VYAMA UCHWALA, kama hicho cha huyo jamaa, kinajidai chama kondoo kumbe simba aliyevaa ngozi ya kondoo!
   
Loading...