Je, Jaji Mutungi ni mnafiki au amekengeuka?

Tangu hili sakata lianze, nia hasa ilikuwa ni kumkomoa Maalim na kundi lake.

CCM, walikuwa wana ajenda mahsusi ya kutaka kung'ang'ania madaraka waliompoka Maalim. Ilisadifu nyota iliokuwa iking'ara ni Ibrahimu Lipumba, ndiye aliyekuwa kinara kuweza kutumiwa kummaliza Maalim na genge lake. Msajili wa vyama na wadhamini wake walijitahidi sana tangu enzi walizokuwa hawana pa kushika hadi walipopata nafasi ya kuwalaghai na kuwadanganya watanzania kuhusu kesi endelezi.

Msajili aliweza kukiuka dhamana aliyokuwa nao kwa kushadidia ushabiki. Hatima yake ni hii tulio ona. Wamemwaga pesa nje nje na mafanikio hawakuyapata. Ni wazi kuwa wameathirika na kuadhirika licha ya kushinda kesi feki.

Wamemuona Maalim mtu wa kutabasamu na furaha na ghafla moja wana wakizalendo walisimama nyuma ya Maalim na kubadilisha hali ya kisiasa Tanzania.

Historia iliyowekwa wataikumbuka maisha yao. Kipigo hakikuwa kwa Lipumba peke yake bali kwa watawala nao limewachoma kweli kweli.

Maalim Seif ni mtu wa kuheshimika katika jamii na ndie hadi sasa amejitahidi kuweka utulivu Zanzibar na kama alikuwa ni mtu wa tamaa basi saa hiitungelikuwa tunaongea lugha tafauti.

Tumshukuru Mungu kuwa huyu bwana ni kiongozi mwenye imani na watu wake. Magufuli hahahahahahahhaha. Twenede safari yetu..... Tutafika.
 
Anayeteua ni kichaa hivyo ni lazima naye awe hamnazo ili aweze kutumiwa kama kikaragosi cha kutimiza matakwa ya maovu ya kichaa.
Uzuri hajaficha health status yake......

Alipokuwa ziarani kanda ya ziwa, wakati anawahutubia wakazi wa kale, alibainisha wazi kuwa yeye ni kichaa na anaowateua nao ni vichaa wenzake!
 
Wa ajabu sana halafu anataka kuwatisha na kuwatumbua! Wakati yeye ndiye kiini cha matatizo yote nchini.

Uzuri hajaficha health status yake......

Alipokuwa ziarani kanda ya ziwa, wakati anawahutubia wakazi wa kale, alibainisha wazi kuwa yeye ni kichaa na anaowateua nao ni vichaa wenzake!
 
Jaji mutungi ni mwanachama wa CUF Haramu ya Lipumba na pia ni mmiliki wa cuf kwani bila yeye jaji asiweza kuwasaidia kupora chama
Huyu anamilikia kadi ya kijani. Alishamuuliza shoga yangu NY mwaka nauhifadhi kama anakadi ili akirudi nyumbani asipate shida. Tulikuwa Mount Vernon hata yeye akisoma huu uzi atakumbuka. Wanafiki wote.
 

Huyu Jaji anaidhalilisha sana ofisi ya msajili wa vyama vya siasa.

Sijui atajivunia nini mara baada ya kuachia hiyo ofisi.

Ndio matatizo ya kuwa na ofisi huru kisheria lakini zikakosa watu huru wa kuziongoza.

Tuna taasisi huru kabisa kisheria lakini zinaongozwa na wataalamu wa kujikombakomba na kujipendekeza.
 

Huyu Jaji anaidhalilisha sana ofisi ya msajili wa vyama vya siasa.

Sijui atajivunia nini mara baada ya kuachia hiyo ofisi.

Ndio matatizo ya kuwa na ofisi huru kisheria lakini zikakosa watu huru wa kuziongoza.

Tuna taasisi huru kabisa kisheria lakini zinaongozwa na wataalamu wa kujikombakomba na kujipendekeza.
Asingekuwa mchumia tumbo angemuenzi Baba yake ambaye ni mmoja wa waanzilishi wa Chadema. Yeye anachumia tumbo. Angemheshimu mzee Mtungi kwa kuona mbali kuanzisha vyama mbadala.
 
Nimesoma huzuni sana waraka wake

Anatia huruma sana,kama vile anatetea pensheni

Niseme tu kwamba Jaji Mutungi ana wakati mgumu sana,tena sana kwani pamoja na yote bado ataendelea kuwa na wakati mgumu sana.

Hebu fikiria tu kwa haraka Lipumba na Uprofesorio rabish wake ametetewa na Jaji Mutungi na akatumia njia za kidhalimu kutetea nafasi yake

Jaji Mutungi huwajua Wazanzibari

Sisi wazanzibari sio kama watanganyika.Tuna misimamo yetu.Tuna kanuni zetu na wakati wetu ndio sasa.Tuache!!

"Ukiendelea kutufata fata tunaweza kukusomea Albadiri Moja tu na hicho kiburi chako kitaisha"
Jaman tangazeni albadili mapema kabla hamjanyongwa tena na akina Jecha na ata michango ya kuisupport albadil iyo tutachanga tupeni tu namba, we are tired of these culprit dhidi ya haki za Watanzania

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom