Je, Jaji Mutungi ni mnafiki au amekengeuka?

ubongokid

JF-Expert Member
Apr 30, 2017
2,032
3,913
Nimesoma huzuni sana waraka wake

Anatia huruma sana,kama vile anatetea pensheni

Niseme tu kwamba Jaji Mutungi ana wakati mgumu sana,tena sana kwani pamoja na yote bado ataendelea kuwa na wakati mgumu sana.

Hebu fikiria tu kwa haraka Lipumba na Uprofesorio rabish wake ametetewa na Jaji Mutungi na akatumia njia za kidhalimu kutetea nafasi yake

Jaji Mutungi huwajua Wazanzibari

Sisi wazanzibari sio kama watanganyika.Tuna misimamo yetu.Tuna kanuni zetu na wakati wetu ndio sasa.Tuache!!

"Ukiendelea kutufata fata tunaweza kukusomea Albadiri Moja tu na hicho kiburi chako kitaisha"
 

Majibu yako sahihi wanayo wale Matrafiki Wawili waliomuonea na kumnyanyasa Dereva wa ile ' Canter ' hadi wakampiga vile vile.
 

tetema.....
soma hiyo "^]^^~383$/8-"
mkate mgumu kwenye chai utalainika.
bila mkono wa mtu utoki maishani mwako
View attachment 1049422
 
Hatujui wazanzibari huyu, aende Kyle ngazi mia a one wastaafu wa ccm wanavyo chechemea kwa halbadiri na dhulma zao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siwezi kumlaumu huyu flanz mtungi wa pombe. Ni maagizo ya ugimbi hayo. Si unajua mtu akishalewa pombe anakuwaje.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…