iClever
Member
- Feb 6, 2022
- 33
- 23
Habari wana JF. naomba kujuzwa katika hili
Nilipata likizo na nikaona niende kwa kaka angu
Na kufika mambo yalikua safi.
Lakini hapo nilipo fikia kwa kaka angu ana jirani ake
Na jirani ana watoto na moja kati ya watoto.
Ni amekua na tatizo la kutoelewa, mfano akitoka shule ye ni michezo na hata wakimwambia fanya hiki matokeo hafanyi. Kuuliza na kutaka kumfahamu miaka yake 12 yuko darasa la7 ni binti hata shuleni pia hafanyi vizuri sana.
Nikaona nipite JF pengine nikajua zaidi mengi ktk hilo tatizo
MWENYE KUELEWA TAFADHALI.