Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 74,986
- 156,264
Tukuite mbwa ukiwa umekaa wapi mkuu?Nikija kuingia kwenye ndoa mniite mbwa
Mkuu sioni jinsi kijana Katibu wa Kanisa la Masanja akalitengeneza vagi la kujinyonga wa sababu ya Monica, ili kufunika Trab na Trat.Nchi hii inaendeshwa na rimoti na watu fulani.
Kila mara inapotokea issue yenye maslahi mapana kwa raia, na washika remote hawataki tuijue au tuijadili basi kwa gharama yoyote ile watatuletea tukio la kutupoteza maboya.
Kipindi cha kasha ya Epa akaibuliwa Babu wa Loliondo, akapewa promo hadi nje ya nchi. Viongozi wazitowazito wakamiminika Loliondo kupiga kikombe.
Kikombe cha ajabu chenye kutibu magonjwa yote. Una unene uliopitiliza, piga kikombe. Una utapiamlo weee piga kikombe.
Nchi hii haishiwi maajabu
Yaani mtu amepigiwa demu wake unasema unasema imeletwa kimkakati? We nae hovyo tuNchi hii inaendeshwa na rimoti na watu fulani.
Kila mara inapotokea issue yenye maslahi mapana kwa raia, na washika remote hawataki tuijue au tuijadili basi kwa gharama yoyote ile watatuletea tukio la kutupoteza maboya.
Kipindi cha kasha ya Epa akaibuliwa Babu wa Loliondo, akapewa promo hadi nje ya nchi. Viongozi wazitowazito wakamiminika Loliondo kupiga kikombe.
Kikombe cha ajabu chenye kutibu magonjwa yote. Una unene uliopitiliza, piga kikombe. Una utapiamlo weee piga kikombe.
Nchi hii haishiwi maajabu
ndugu yangu, bado unawazaga tu trilioni360!!!???!!!, kwanza ilikuwa na uhalisia!??!! au ilikuwa janja nyani mzungu ababaike?!?, barrick kwanza hana hiyo hela. achana na hayo maruweruwe wewe subiri tujadili pesa ya tozo zetu tuone zinatusaidiajeNchi hii inaendeshwa na rimoti na watu fulani.
Kila mara inapotokea issue yenye maslahi mapana kwa raia, na washika remote hawataki tuijue au tuijadili basi kwa gharama yoyote ile watatuletea tukio la kutupoteza maboya.
Kipindi cha kasha ya Epa akaibuliwa Babu wa Loliondo, akapewa promo hadi nje ya nchi. Viongozi wazitowazito wakamiminika Loliondo kupiga kikombe.
Kikombe cha ajabu chenye kutibu magonjwa yote. Una unene uliopitiliza, piga kikombe. Una utapiamlo weee piga kikombe.
Nchi hii haishiwi maajabu
Si ndiyo hapo mkuu! Kuna watu ni jinga kwelinyie kila kitu mnatafuta sabb ya kusingizia, et wawatoe, nan awatoe bana wee, mtu apate matatzo ya kifamilia mje msingizie mnatolewa msijadiri mambo ya taifa?
jamn tuwe tunatumia akili sometime
ndugu yangu, bado unawazaga tu trilioni360!!!???!!!, kwanza ilikuwa na uhalisia!??!! au ilikuwa janja nyani mzungu ababaike?!?, barrick kwanza hana hiyo hela. achana na hayo maruweruwe wewe subiri tujadili pesa ya tozo zetu tuone zinatusaidiaje
Uwanja wa Benjamini MkapaTukuite mbwa ukiwa umekaa wapi mkuu?
Lakini limeibua maswali mengi zaidi. Kila jibu moja linazaa maswali kumi.Mkuu sioni jinsi kijana Katibu wa Kanisa la Masanja akalitengeneza vagi la kujinyonga wa sababu ya Monica, ili kufunika Trab na Trat.
NinaLakini limeibua maswali mengi zaidi. Kila jibu moja linazaa
Mashaka na uwezo wako wa kufikiri mkuuLakini limeibua maswali mengi zaidi. Kila jibu moja linazaa maswali kumi.
Hamshindwagi kunyonga watu kwa ajili ya sababu zisizo na kichwa wala kisiginonyie kila kitu mnatafuta sabb ya kusingizia, et wawatoe, nan awatoe bana wee, mtu apate matatzo ya kifamilia mje msingizie mnatolewa msijadiri mambo ya taifa?
jamn tuwe tunatumia akili sometime
Wakati wa mwendazake, trilioni 1.5 ulikuwa wimbo wa kila siku, hivi kweli trilioni 360 ni za kweli wakati sisikii kelele zozote kabisa?Kwani hata mkijadili hizo tilioni 360 kwa mwaka mzima mtabadirisha kitu gani?
Watz tusiwe wapumbavu.
Buji yuko fresh sana, sema nyie mashabiki maandazi wa chama cha mashetani kazi yenu ni kuunga mkono kila baya na ushetani unaofanywa na chama chenuNina
Mashaka na uwezo wako wa kufikiri mkuu
Hahah hahahhHamshindwagi kunyonga watu kwa ajili ya sababu zisizo na kichwa wala kisigino