Wadau kwema?
Nawasalimu ktk jina la JMT.
Nauliza hivi hawa jamaa IPSOS bado wapo nchini hapa hususani Jijin Dar es Salaam.
Hawa jamaa zamani walikuwa wanafanya research za issues mbalimbali walikuwa wana toa temporary jobs (researcher assistant)
Wenye kufahamu anijushe, na je wapo palepale. Regwnt Estate.