Je, IPPMEDIA imenunuliwa na China?

Je, IPPMEDIA imenunuliwa na China?

Kamundu

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2006
Posts
9,284
Reaction score
13,943
serikali ya China imechukuwa sehemu kubwa ya gazeti hili na kuweka agenda zao za kupamba nchi yao. Je kuna uhusiano gani na gazeti hili? Wamenunua kinyemela? Je wanatumika ?

 
Nimemisi cocktails za paradiso na mandazi ya jehanamu achana na grants za kuzimu
 
Nimemisi cocktails za paradiso na mandazi ya jehanamu achana na grants za kuzimu
  • cocktails za paradiso na
  • mandazi ya jehanamu achana na
  • grants za kuzimu

Fungua codes hizo mkuu, Nimepita ''kapa''
 
Back
Top Bottom