Je? Ipi ni ligi bora dunian kwa sasa?

Je? Ipi ni ligi bora dunian kwa sasa?

Tatizo sigala

Member
Joined
Jan 27, 2013
Posts
45
Reaction score
5
Watu weng hubishana hasa katika ligi 3 yan EPL, LALIGA na BUNDERSLIGA, naomba tuweke bayana wadau!
 
mimi mkuu kwa ufuatiliaji wangu wa miaka 3 nyuma naweza kusema spain namaanisha la liga sina utaalamu wa masuala ya football ila na copy na ku paste .
 
kama timu inayoshika nafasi ya 4 au ya 5 huko la liga inaweza kuifunga timu inayoshika nafasi ya 1 epl inamaanisha la liga ni ligi bora (kwa mtazamo wangu)
 
Ziko timu tatu za la liga kwenye robo finali ya UEFA hakuna hata moja ya EPL hivyo hadi hapo utaona nani mkali.
Pia mara nyingi timu za La Liga zinafunga timu za EPL.

Kwangu La Liga ni bora

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Kiongozi Andybird,

UEFA inaitwa siku hizi inaitwa EUROPA au UEFA-EUROPA ambapo Chelsea, Tottenham Hotspurs, Newcastle United bado zimo ktk EUOPA (UEFA-)Europa, na ni katika Europe Champion League ndo hakuna timu za Uingereza robo fainali ambapo Spain inawakilishwa na Barca (Timu ya makabwela/kandambili), Real (timu ya Mabwanyenye wa Spain) na Malaga.
 
I will go for the same stand, La liga, Bundesliga, Serea A, Epl the fourth...
I dont agree with you that EPL is behind Bundesliga and Serie A, recently Italian football has been affected by match fixing scandals,some club experience financial problem and the attendance in Serie A games is very low.Bundesliga is rising and possible in the future will be the best league, i like the idea of bundesliga for promoting young players from their club academy instead of signing players from foreign league compared to EPL,Laliga and Serie A
 
ligi bora ni ligue 1 ya ufaransa kwani hata timu yakwanza haina huakika wa kuchukua ndoo sio la liga bana..
 
Mnataka kubadili nyeupe iwe njano hahahahaaa, na viligi vyenu vya mchangani ligi ya malkia yani epl imewaacha mbali sana
 
kwa mtazamo wangu La liga ndo wakali wa soka
But EPL ni wakali wa rugb
 
kama timu inayoshika nafasi ya 4 au ya 5 huko la liga inaweza kuifunga timu inayoshika nafasi ya 1 epl inamaanisha la liga ni ligi bora (kwa mtazamo wangu)
mkuu umetoweka kitambo katika jukwaa hili kunani
 
kwanza tukubaliane kuna tofauti kubwa kati ya ligi bora na ligi yenye timu bora.la liga ina baadhi ya timu ambazo zikikutana na timu za ligi zingine huzifunga sana.lakini ushindani wa hiyo timu iliyoifunga timu ya ligi nyingine katika ligi yao ni ya saba tena kwa tofauti ya pointi nyingi sana.kwa maana hii hii timu ni bora lakini ipo katika ligi nyororo.timu za la liga ni bora sana.lakini ligi ya uingereza ni ngumu ina upinzani,utajiri msisimko na ndio yenye wapenzi wengi kwa sasa ulimwenguni.
 
I dont agree with you that EPL is behind Bundesliga and Serie A, recently Italian football has been affected by match fixing scandals,some club experience financial problem and the attendance in Serie A games is very low.Bundesliga is rising and possible in the future will be the best league, i like the idea of bundesliga for promoting young players from their club academy instead of signing players from foreign league compared to EPL,Laliga and Serie A

Call all scandals, but I have used Champions League as the basis of my analysis; I personally see EPL as the most famous league simply because of the strong British media and its affiliates, however it has nothing really unique/peculiar football tenets to separate it from other leagues. Seria A and Bundesliga are unsung better leagues because very little is known and get into our mind compared to EPL...I still stand for my preference
 
gakato,

For last 5 years below are the finalist of UEFA Champions League
2012-Chelsea Vs Bayern
2011-Barca Vs ManU
2010-Inter Vs Bayern
2009-Barca Vs ManU
2008-Manu Vs Chelsea

You can make your analysis on above facts,i cant see EPL is behind Serie A and Bundesliga
 
Last edited by a moderator:
gakato,

For last 5 years below are the finalist of UEFA Champions League
2012-Chelsea Vs Bayern
2011-Barca Vs ManU
2010-Inter Vs Bayern
2009-Barca Vs ManU
2008-Manu Vs Chelsea

You can make your analysis on above facts,i cant see EPL is behind Serie A and Bundesliga

Belo, get me right please; time was not part of my analysis; I only used this year's perfomance so far!
 
Vodacom Premier League ndio bora zaidi kwa sasa kusema ukweli. Unless uwe ni mshabiki wa Mrs Libolo
 
Belo, get me right please; time was not part of my analysis; I only used this year's perfomance so far!
OK,for your analysis in 2012-2013 even Turkish League and League 1 (French League) are ahead EPL
 
Back
Top Bottom