Je infinity zinatofautiana ukubwa ?

Je infinity zinatofautiana ukubwa ?

P h a r a o h

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2024
Posts
997
Reaction score
1,889
Wote tunajua kua infinity ni mwisho usio fikika mfano namba
1, 2, 3, 4, ...

Je kuna Infinity kubwa kuliko mwenzake mfano infinity ya
1, 2, 3, 4, 5... nisawa na infinity ya
2, 4, 6, 8, 10... ?

Jibu ni kwamba infinity zote ni sawa mfano infinity ya 2, 4, 6... imepatikana kwa kuzidisha 1, 2, 3,.. kwa mbili

mfano:
1, 2, 3, 4, 5....
x x x x x
= = = = =
2, 4, 6, 8, 10...

" infinity and zero are two sides of the same coin"

Kama ilivyo ngumu kuifikia infinity, ndivyo ilivyo ngumu kuifikia 0, katika hesabu nyingi 0 haswa hua ni makadirio ya 0.000000000...1, lakini kiuhakisia ni ngumu kuifikia 0 kama ilivyokua kwa infinity

Huu ni mwanzo na msingi kulingana na mada ambayo nataka kuja kuizungumzia
 
wote tunajua kua infinity ni mwisho usio fikika mfano namba
1, 2, 3, 4, ...

Je kuna Infinity kubwa kuliko mwenzake mfano infinity ya
1, 2, 3, 4, 5... nisawa na infinity ya
2, 4, 6, 8, 10... ?

jibu ni kwamba infinity zote ni sawa mfano infinity ya 2, 4, 6... imepatikana kwa kuzidisha 1, 2, 3,.. kwa mbili

mfano:
1, 2, 3, 4, 5....
x x x x x
= = = = =
2, 4, 6, 8, 10...

" infinity and zero are two sides of the same coin"

kama ilivyo ngumu kuifikia infinity, ndivyo ilivyo ngumu kuifikia 0, katika hesabu nyingi 0 haswa hua ni makadirio ya 0.000000000...1, lakini kiuhakisia ni ngumu kuifikia 0 kama ilivyokua kwa infinity

huu ni mwanzo na msingi kulingana na mada ambayo nataka kuja kuizungumzia
kama tunazungumzia kuhusu Numerology au Spiritual aspects Ni kweli infinity zote ziko sawa ila tukiingia kwenye maswala ya kimahesabu haziwezi kuwa sawa...

kamsome mtu mmoja anaitwa Georg Cantor ambaye ndo mwanzilishi wa Pivot rule ya Creation of set theory, Humo kaelezea kuhusu infinity mbili au zaidi...
tukianza na mifano yako ya namba shufwa na namba nzima kimahesabu Ukimsoma georg cantor kwenye Set theory hizo namba huwa zina Cardinality sawa (ukubwa sawa)...

na kama zina ukubwa sawa tunaweza kuzilinganisha kwa pamoja au moja kwa moja kama wewe mwenywwe ulivyojibu hapohapo so hzi zinaenda sambamba na sheria kwenye set theory inaitwa One-to-One Correspondence na kutokana na kuongezeka kila inapoendelea cantor akaita hii infinity aliita ukubwa huu wa infinity Aleph-null au countable infinity.... na kuna nyingine akaita Uncountable infinity kama infinity inayotokana na zero..

Sasa swali lako kuwa ipi kubwa kuliko nyingine limejibiwa na G.cantor alitumia mbinu inayoitwa Diagonal Argument na lakini ilikuja kueleweka baadae baada ya David Hilbert alipokuwa akijibu na kuelezea theory za infinity hasa za Georg Cantor kwa mfano wa HILBERT HOTEL PARADOX..

Mfano wa "Hoteli ya Infinity" (Hilbert's Hotel Paradox)
Fikiria kuna hoteli yenye vyumba infinity na vyote vimejaa:
Kama wageni Countable wakija: Meneja anaweza kuwaambia wageni waliopo wasogee chumba kinachofuata na kila mgeni mpya atapata chumba.
• Kama wageni Uncountable wakija: Meneja atashindwa kuwapanga! Hakuna namna ya kuwapanga wageni hawa kwenye vyumba vya hoteli kwa sababu ni wengi kuliko idadi ya vyumba vilivyopo, hata kama vyumba ni infinity.

So jibu ni lipi: Uncountable infinity ni kubwa kiasi kwamba Countable infinity inaonekana kama "kijitone cha maji kwenye bahari" Ukizilinganisha...

Meen I Iove numerology....utanijibu kama umeelewa maana inachanganya kidogo
 
Asante doctor, na infinity inachanganya akili ya binadamu na mara kwa maraa ni ngumu kufikia muafaka mfank Kwenye mfano huo wa Hilbert's Hotel uliouelezea, bado hakuna anayekosa chumba. mfano wakijaa kwasababu wamekuja infinity ( kwamba kila moja alisogea chumba kinachofuata infinitely), meneja atawaambia kila mtu ahamie kwenye chumba kinachogawanyika kwa 3 au atawaambia kwenye chumba chenye namba witiri then infinity itajirudia tena ( actually kwenye mfano huu wa hotel bado infinity itajirudia infinitely na kila mgeninatapata chumba)
 
Nilikuwa nasubiri walugaluga waje waanze kuzichambua Infinity za Opo na Tekno
 
Back
Top Bottom