Je India ni salama kwa wanafunzi wa Kitanzania?

India sio salama kama ukiwa ni mtu wa kujiexpress! Watu wamesoma huko na wamemaliza masomo yao na kurudi home salama tu. wabongo wengine wakiwa huko wanakuwa ni marimbukeni! Chapombe, matanuzi meeeengi na ujinga mwingi mwiiiiingi! Wengine mpaka wanatia kinyaa! Halafu tabia nyingine mbaya ni wabongo wengi kuishi kama mke na mume!! Wanatoka bongo safiii lakini wakifika huko (India) wanawekana vimada. I feel pitty!

Tema mate chini na umwombe Mungu akuepushe wewe na kizazi chako Msije kutana na Racists hata siku moja ya maisha yenu......jambo usilo lijua ni sawa na usiku wa Giza..Hata siku moja huwezi kuujua uchungu wa ng'e hadi siku atakapo kuuma.....Take a very simple example ya Racist wanavyokua, nauhakika unakumbuka sana tukio la afisa balozi wa Canada na Polisi wa usalama barabarani Tanzania.......Imagine huyo afisa ukutane naye kwenye mitaa ya Toronto Canada and then awe na bastola yake kwenye gari ......unazani badara ya kukutemea mate atafanya nini???????????..............think twice before u urgue to serious matters concerning life of your fellow human being..........na kumbuka msemo wa wahenga "USITUKANE MAMBA KABLA HUJAVUKA MTO"
 
Lina uhusiano wa karibu sana. NI KWAMBA SIKU WATANZANIA WAKISIKITIKA KIKWEKWELI HATA KULE INDIA WATASIKITIKA.Tusiliache kuendelea.Tusijidanganye Watanzania ni sawa na waafrika wengine popote pale Afrika.
 
Mhindi wa India na aliyepo hapa hawapishani, tena hawa wa huku wala hawakai muda wote bongo. mara nyingi utasikia wameenda kwao India, Kanada wapi wapi sijui halafu wanarudi tena kwetu. Kiufupi Wahindi mimi siwapendi!
 
Back
Top Bottom