Hahaha aaa ila hilo suala la body linawezekanaBila neutral wire umeme hauwaki hata kwa bahati mbaya,kwakua umesema ulikuta kumeungua basi kuna uwezekano neutral ikawa kwenye body la mainswitch maana lile body ni la bati bati ndio mana unauona umeme unawaka.
ila ingekua body la mainswitch n mbao naamini kwa shoti unayoiongelea umeikuta umeme usingewaka maana kuna Live tu bila neutral... sijui kazi ya neutral mimi maana umeme wenyewe nimeujua kwa kupgwa pgwa tu na mashoti ila usniulize maswali ya kitaalamu,ntakukimbia.
Hehehee. Yaani nilikuwa nasubiri mtu aongelee hilo la three phase na mashine kuwaka.Mashine zinawaka kwa sababu ni three phase, inawezekana control ya izo mashine nayo bado haijaalibika
Sent using Jamii Forums mobile app
Earth wire ipo kwa sababu ya protection, pia earth wire inakuwa connected to the ground using earth rod. Na earth resistance inatakiwa ipimwe , naendelea.Mimi nahitaji wataalamu wataokuja wanieleze EARTH WIRE kazi yake na inazuiaje umeme kupotea yani.
Ili iweje, ndo ivyo ili mashine iwake inahitaji three phase ambazo direct zinaingia kwenye motor . Unaswali au changomoto unayoiona.Hehehee. Yaani nilikuwa nasubiri mtu aongelee hilo la three phase na mashine kuwaka.
Endelea, tunakusubiri.Earth wire ipo kwa sababu ya protection, pia earth wire inakuwa connected to the ground using earth rod. Na earth resistance inatakiwa ipimwe , naendelea.
Sent using Jamii Forums mobile app
endelea mpaka mwisho ukimaliza niambie nije na maswaliEarth wire ipo kwa sababu ya protection, pia earth wire inakuwa connected to the ground using earth rod. Na earth resistance inatakiwa ipimwe , naendelea.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana. Yaani ndio jibu sahihi nililokuwa nasubiri litolewe. Niliona wataalam wanachelewa kujibu.Ili iweje, ndo ivyo ili mashine iwake inahitaji three phase ambazo direct zinaingia kwenye motor . Unaswali au changomoto unayoiona.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi nahitaji wataalamu wataokuja wanieleze EARTH WIRE kazi yake na inazuiaje umeme kupotea yani.
Endelea, tunakusubiri.
Earth system katika wiring system ni kwa ajili ya kufanya protection, unapokuwa umefanya standard earthing ambayo inaviwango vyote ikitokea fault ya aina yoyote ile circuit breaker ina achia .endelea mpaka mwisho ukimaliza niambie nije na maswali
zamani wakati wa zile mita ambazo tanesco walikua wanakuja kusoma units wahuni tulikua tunatoa waya wa neutral unaoenda kwenye mita halafu tunauelekeza ardhini, yaani neutral inaungwa kwenye earth pale kwenye DB. Unajikuta miez inakata bila kulipa.
Wire mweusi neturol? Huyo fundi alikuwa maikoWasalaam wanajamvi hope mu wazima
Kichwa kha habari kinajieleza.
Labda nifafanue kidogo, asubuhi kabla sijaripoti job nimepigiwa simu na.wadau wangu kuwa Kuna shot imetokea.
Ni kweli nilipofika nimekuta kwenye main switch kumeungua vibaya sana japokuwa zile nyaya Zote tatu hazijaachana, ila ule waya mweusi neutral umekatika kabisa.
Cha ajabu umeme upo na mashine zote zinafanya kazi, je nini madhara maana kitu kiliwekwa kwa sababu maalumu.
Wataalam mnijuze neutral ina kazi gani na nini madhara isipokuwepo.
TANESCO wanapigiwa simu hawapokei maana ndio wenye jukumu la kukata umeme kwenye Transfoma.
NB: Kama hujui jambo pita tu, kejeli haziruhusiwi.
Huwezi kuwasha au ku control hizo machine bila neutral wire.Mashine zinawaka kwa sababu ni three phase, inawezekana control ya izo mashine nayo bado haijaalibika . Hamna waya wa neutral unaoingia kwenye mashine ya three phase. Motor
Sent using Jamii Forums mobile app
Ili mfumo wa umeme ufanye kazi, ni muhimu kuwe na complete circuit ili umeme uweze kutembea kama ilivyo bomba la maji. Bomba la maji likikatika maji hayawezi ku-flow.Wasalaam wanajamvi hope mu wazima
Kichwa kha habari kinajieleza.
Labda nifafanue kidogo, asubuhi kabla sijaripoti job nimepigiwa simu na.wadau wangu kuwa Kuna shot imetokea.
Ni kweli nilipofika nimekuta kwenye main switch kumeungua vibaya sana japokuwa zile nyaya Zote tatu hazijaachana, ila ule waya mweusi neutral umekatika kabisa.
Cha ajabu umeme upo na mashine zote zinafanya kazi, je nini madhara maana kitu kiliwekwa kwa sababu maalumu.
Wataalam mnijuze neutral ina kazi gani na nini madhara isipokuwepo.
TANESCO wanapigiwa simu hawapokei maana ndio wenye jukumu la kukata umeme kwenye Transfoma.
NB: Kama hujui jambo pita tu, kejeli haziruhusiwi.