Je, inawezekana umeme kuwaka bila waya wa neutral?

Itovanilo

JF-Expert Member
Jul 30, 2018
862
1,000
Wasalaam wanajamvi hope mu wazima

Kichwa kha habari kinajieleza.

Labda nifafanue kidogo, asubuhi kabla sijaripoti job nimepigiwa simu na.wadau wangu kuwa Kuna shot imetokea.

Ni kweli nilipofika nimekuta kwenye main switch kumeungua vibaya sana japokuwa zile nyaya Zote tatu hazijaachana, ila ule waya mweusi neutral umekatika kabisa.

Cha ajabu umeme upo na mashine zote zinafanya kazi, je nini madhara maana kitu kiliwekwa kwa sababu maalumu.

Wataalam mnijuze neutral ina kazi gani na nini madhara isipokuwepo.

TANESCO wanapigiwa simu hawapokei maana ndio wenye jukumu la kukata umeme kwenye Transfoma.

NB: Kama hujui jambo pita tu, kejeli haziruhusiwi.
 
CONTROLA

JF-Expert Member
Sep 15, 2019
5,467
2,000
Bila neutral wire umeme hauwaki hata kwa bahati mbaya,kwakua umesema ulikuta kumeungua basi kuna uwezekano neutral ikawa kwenye body la mainswitch maana lile body ni la bati bati ndio mana unauona umeme unawaka.

Ila ingekua body la mainswitch n mbao naamini kwa shoti unayoiongelea umeikuta umeme usingewaka maana kuna Live tu bila neutral, sijui kazi ya neutral mimi maana umeme wenyewe nimeujua kwa kupgwa pgwa tu na mashoti ila usniulize maswali ya kitaalamu, ntakukimbia.
 
Itovanilo

JF-Expert Member
Jul 30, 2018
862
1,000
Bila neutral wire umeme hauwaki hata kwa bahati mbaya,kwakua umesema ulikuta kumeungua basi kuna uwezekano neutral ikawa kwenye body la mainswitch maana lile body ni la bati bati ndio mana unauona umeme unawaka.

ila ingekua body la mainswitch n mbao naamini kwa shoti unayoiongelea umeikuta umeme usingewaka maana kuna Live tu bila neutral... sijui kazi ya neutral mimi maana umeme wenyewe nimeujua kwa kupgwa pgwa tu na mashoti ila usniulize maswali ya kitaalamu,ntakukimbia.
Hahaha aaa ila hilo suala la body linawezekana
 
Planett

JF-Expert Member
Mar 20, 2014
8,699
2,000
zamani wakati wa zile mita ambazo tanesco walikua wanakuja kusoma units wahuni tulikua tunatoa waya wa neutral unaoenda kwenye mita halafu tunauelekeza ardhini, yaani neutral inaungwa kwenye earth pale kwenye DB. Unajikuta miez inakata bila kulipa.
 
Eng. Zezudu

JF-Expert Member
Aug 23, 2012
4,198
2,000
Mimi nahitaji wataalamu wataokuja wanieleze EARTH WIRE kazi yake na inazuiaje umeme kupotea yani.
Endelea, tunakusubiri.
endelea mpaka mwisho ukimaliza niambie nije na maswali
Earth system katika wiring system ni kwa ajili ya kufanya protection, unapokuwa umefanya standard earthing ambayo inaviwango vyote ikitokea fault ya aina yoyote ile circuit breaker ina achia .

Sasa kama earthing ni mbovu circuit breaker haitakata na umeme unataendelea kupotea.

Pia hata circuit breaker nayo inaweza changia umeme kupotea.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Iselamagazi

JF-Expert Member
Sep 26, 2011
4,870
2,000
zamani wakati wa zile mita ambazo tanesco walikua wanakuja kusoma units wahuni tulikua tunatoa waya wa neutral unaoenda kwenye mita halafu tunauelekeza ardhini, yaani neutral inaungwa kwenye earth pale kwenye DB. Unajikuta miez inakata bila kulipa.

Si kweli ndugu!
Kama hujafanya lolote kwenye "live" waya huwezi kukwepa bill ya umeme.
Sema, kama ungeweza kufanya "bypass" kwa kuchomoa waya (live) toka kwenye mita na kuunganisha na mfumo wako wa umeme hapo sawa.
Kitendo hiki kitahusisha kukata makufuli ya mita (seals).
Aidha, ukataji wa seals za mita kunaweza kukupeleka Segerea ikiwa wenyewe watagundua!

Sent from my TECNO BC1 using JamiiForums mobile app
 
wa stendi

JF-Expert Member
Jul 7, 2016
19,812
2,000
Wasalaam wanajamvi hope mu wazima

Kichwa kha habari kinajieleza.

Labda nifafanue kidogo, asubuhi kabla sijaripoti job nimepigiwa simu na.wadau wangu kuwa Kuna shot imetokea.

Ni kweli nilipofika nimekuta kwenye main switch kumeungua vibaya sana japokuwa zile nyaya Zote tatu hazijaachana, ila ule waya mweusi neutral umekatika kabisa.

Cha ajabu umeme upo na mashine zote zinafanya kazi, je nini madhara maana kitu kiliwekwa kwa sababu maalumu.

Wataalam mnijuze neutral ina kazi gani na nini madhara isipokuwepo.

TANESCO wanapigiwa simu hawapokei maana ndio wenye jukumu la kukata umeme kwenye Transfoma.

NB: Kama hujui jambo pita tu, kejeli haziruhusiwi.
Wire mweusi neturol? Huyo fundi alikuwa maiko
 
Ili mfumo wa umeme ufanye kazi, ni muhimu kuwe na complete circuit ili umeme uweze kutembea kama ilivyo bomba la maji. Bomba la maji likikatika maji hayawezi ku-flow.
Pamoja na kazi kadhaa za waya wa neutral, huu waya ni muhimu ili kukamilisha mzunguko wa umeme.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom