JembeNaNyundo
JF-Expert Member
- Dec 9, 2016
- 533
- 652
Kuna mtoto anayeingia darasa la saba. Bahati mbaya wazazi hawakutambua kwamba ukiingia darasa la saba katika shule husika ni lazima mwanafunzi aingie boarding. Wazazi wanataka mtoto asome day, na akifika form I ndipo aende boarding. Kuna namna yoyote ya kuhama?