Naomba ndugu zangu msome thread yangu na kuona nini kinachonipelekea kuandika thread hii.
Kuna mtu atasema uchaguzi si swala la utashi wa mtu bali katiba, je mikutano iliyozuiliwa haijaruhusiwa na katiba?
Kama itaelezwa kuwa hakuna pesa za kutosha kufanya uchaguzi 2020 na polisi wakapewa mamlaka ya kuzuia na kukamata yeyote anayepinga nani atabisha? Maana polisi wamepewa mamlaka ya kukamata yeyote anayetaka kufanya mkutano na maandamano na kuwafungulia mashitaka.
Kinachonipata wasiwasi ni haya matamshi yanayotolowe kinyume na sheria pia katiba ya nchi ambayo yameshika kasi sana nchini.