Je, Inawezekana kushinda Uchaguzi bila Kikuyu votes?

Barbarosa

JF-Expert Member
Apr 16, 2015
22,584
27,811
Hili linawezekana kutokea nchini Kenya? Yaani kuna anayeweza kushinda Uchaguzi bila ya kupata kura za Wakikuyu?
 
Nimekuambia mara zaidi ya mia kwamba hamna kabila moja au mbili ambazo zinaweza kukuwezesha kuwa rais Kenya. Hii ni nchi yenye zaidi ya makabila 42, hivyo makabila machache hayawezi kukufanya rais. Aliyekua rais Moi alitawala Kenya zaidi ya miaka 24 bila kura za hao Wakikuyu.

Tatizo mnategemea propaganda za mitandao na vijiweni na kukosa kuongeza na akili zenu wenyewe
 
anything can happen. elections za Kenya ziko tightly contested kama za U.s. unaeza lead the whole day and night. kuamka asubui, the shock is on you
 
Absolutely, Barbarosa. The strategy by the opposition in 2007 was to mobilize the votes from the other 41 tribes against Kibaki- a gang up.
The kikuyu votes account for less than 20% of the total votes, but one is required to garner 50+1 votes to win.
 
Hili linawezekana kutokea nchini Kenya? Yaani kuna anayeweza kushinda Uchaguzi bila ya kupata kura za Wakikuyu?
Wakalenjin kabila la Ruto ndio wanaamua rais. Kumbuka Moi nae alikuwa mkalenjin. Rift valley ni jumbo lenye makabila mengi aina ya kimasai kama kipsigis na kalenjin. Kule ukiwa mkikuyu hupati kura za waluo na the same kwa waluo. Kwa hiyo Rift valley ndio inaamua rais
 
Bado hujapatia siasa za Kenya, jaribu tena. Soma historia jinsi rais Uhuru alivyopigwa chini mnamo mwaka wa 2002 hata baada ya kupata kura za Wakalenjin zote na nyingi kutoka kwa Wakikuyu.... breakings news makabila machache hayawezi kukufanya rais.
Katiba yetu ipo wazi, to be president in Kenya, a candidate is required to receive over 50% of the vote and 25% of the vote in at least 24 counties.

Sasa hapo kwa 24 counties ndio mtihani, hizo ni nusu ya gatuzi za Kenya, lazima zikuunge mkono kwamba upate asilimia 25% kwa gatuzi 24, hivyo hata kabila lako likiungana na lingine halafu wakupigie kura hadi paka na panya vijijini, bado hutatawala nchi, lazima utafute kura kutoka pembe zote za nchi.
 
We si mKenya na hujui siasa za Kenya. kaa kando
 
Acheni mbwembwe...Rais mzuri tayari mnaye,mnataka nn sasa,ahirisheni uchaguzi Uhuru atosha:p
 
Siasa za Kenya ni kijinga na kipumbavu, Kenya ndio Nchi pekee ambayo utakuta Chama kina Kaka na dada,utapata Jubilee na dadaake Frontier Alliance Party wanamuunga Mkono mgombea Urais mmoja wakati ni Vyama tofauti na wala hawajaunguna wote wanamuunga mkono Uhuruto! aibu, aibu,aibu!
 
ndo wameamua hivyo...sidhani kama ni ujinga kwa wao kuamua watakavyo,ni vyema tukaweka nguvu kwenye kukuza uchumi wetu wa VIWONDER badala ya kuhangaika na mambo yao
 
Kakojoe ukalale, mada hii nzito kwako. Nenda kwenye majukwaa yenu ya kitoto na hoja zako nyepesi.
 
Bado hujapatia siasa za Kenya, jaribu tena. Soma historia jinsi rais Uhuru alivyopigwa chini mnamo mwaka wa 2002 hata baada ya kupata kura za Wakalenjin zote na nyingi kutoka kwa Wakikuyu.... breakings news makabila machache hayawezi kukufanya rais.
Katiba yetu ipo wazi, to be president in Kenya, a candidate is required to receive over 50% of the vote and 25% of the vote in at least 24 counties.

Sasa hapo kwa 24 counties ndio mtihani, hizo ni nusu ya gatuzi za Kenya, lazima zikuunge mkono kwamba upate asilimia 25% kwa gatuzi 24, hivyo hata kabila lako likiungana na lingine halafu wakupigie kura hadi paka na panya vijijini, bado hutatawala nchi, lazima utafute kura kutoka pembe zote za nchi.

Hiyo ndiyo ilikuwa janja ya Raila Odinga, na ndiyo maana akapambana mpaka akapata Katiba mpya kwa kuwa alijua bila ya kuvunja vunja nguvu ya Wakikuyu, no chance sasa katiba aliyoipigania kwa lengo la kumuingiza Ikulu ikashindwa kumsaidia, sasa wanalia kuibiwa kura wakati Katiba mpya ilipaswa izuie hili, na waliahidi hivyo kwamba Katiba mpya ndiyo Muarobaini wa wizi wa kura!
 
ndo wameamua hivyo...sidhani kama ni ujinga kwa wao kuamua watakavyo,ni vyema tukaweka nguvu kwenye kukuza uchumi wetu wa VIWONDER badala ya kuhangaika na mambo yao

Ni lini mara ya mwisho ulisoma majina ya Forums zilizoko hapa JF? Na hii Forums unayochaingia unaijua jina lake?
 
Back
Top Bottom