Je inawezekana kurudia?

Je inawezekana kurudia?

Kanungila Karim

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2016
Posts
20,741
Reaction score
25,681
Habari zenu wana JF,
Kuna jamaa yangu alikuwa anaomba ushauri wenu.

Baada ya kufanya mtihani wa Taifa mwaka 2014 kwa mfumo wa GPA akapata PASS ya 0.6 yaani
Mathematics F
English D
Geography F
Civics E
Biology D
Kiswahili C
History D.

Sasa yeye alikuwa anauliza je akienda kusoma shule ya serikali kidato cha 3 mwaka huu kisha mwakan arisit mtihan wa NECTA kama mtihaniwa binafsi je atakubaliwa?
 
Kudahiliwa shule ya serikali haiwezekani, anatakiwa atafte centre yeyote ili aanze kusoma kama tuition akisubiri muda wa pepa kulisiti au akajiunge na shule za private awe anaingia darasani na uniform kama wanafunzi wengine ila ikifika muda wa pepa atafanya kama private candidate.
 
Asante kwa kujibu swali langu
 
Mbona huyo anasoma certificate na diploma kabisa baadae akili ikikomaa atarudia mtihani huku anafanya kazi
 
Kudahiliwa shule ya serikali haiwezekani, anatakiwa atafte centre yeyote ili aanze kusoma kama tuition akisubiri muda wa pepa kulisiti au akajiunge na shule za private awe anaingia darasani na uniform kama wanafunzi wengine ila ikifika muda wa pepa atafanya kama private candidate.
Nilikuwa nasema hivi kwamba kwa mfano wee umesoma shule ya secondar KICHAA iliyopo Dodoma halafu umepata C moja D mbili dhumuni lako lilikuwa kwenda kidato cha 5 umekuja Singida ukaamua umtafuta mkuu wa shule ya secondary yeyote uongee nae ili akufanyie mchakato pale shulen ili uonekane kama mgen.
It Is Possible?
 
Mkuu pesa ya certificate Haina tofauti kubwa na form five katika shule za private hivyo hata kama akifauru kwenda advance gharama ni zilezile mfano form five ada ni minimum laki 9 day, boarding m1.4 na certificate ni 1.2m,
Yeye anatak kurudia kidato cha 3 shule ya serikali sasa tatizo ni jinsi ya kujiunga kwenye ile shule
 
aende private halaf arudie pepa huku anasoma private... ila serikali sidhani..!!!
je naweza nikasoma ya serikali ila siku za mitihan zikikaribia naacha shule naenda kituon kama Private Candidate inawezekana?
 
Habari zenu wana JF,
Kuna jamaa yangu alikuwa anaomba ushauri wenu.

Baada ya kufanya mtihani wa Taifa mwaka 2014 kwa mfumo wa GPA akapata PASS ya 0.6 yaani
Mathematics F
English D
Geography F
Civics E
Biology D
Kiswahili C
History D.

Sasa yeye alikuwa anauliza je akienda kusoma shule ya serikali kidato cha 3 mwaka huu kisha mwakan arisit mtihan wa NECTA kama mtihaniwa binafsi je atakubaliwa?
Atakubaliwa ila kwake haitakuwa elimu bure, watamtoza kiasi kadhaa cha pesa.
 
Back
Top Bottom